Msaada:Hukumu ya Kesi ya Yesu sio Mungu

Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
11,634
26,373
Wakuu habari zenu,
Nakumbuka Tanzania kuna mtu aliwahi kushtakiwa kwa kusema Yesu sio Mungu miaka ya 2005 hivi.
Ni wapi naweza kupata nakala ya Hukumu hio au kama kuna mtu anayo anisadie nahitaji kujifunza baadhi ya mambo humo
Natanguliza shukrani.
 
Kusema Yesu sio Mungu ni kifungu gani cha sheria kitakutia hatiani ? Hizo ni imani tu , ili mradi usiongezee maneno ya uchochezi .
 
mambo ya Trinity ni magumu sana. Baadhi ya viongozi wa dini wao wemyewe wamegawanyika
 
Kusema Yesu sio Mungu ni kifungu gani cha sheria kitakutia hatiani ? Hizo ni imani tu , ili mradi usiongezee maneno ya uchochezi .
Kuna mtu alitiwa hatiani mkuu,labda kama aliongeza maneno ya uchochezi ndio maana nimeomba nakala ya hukumu
 
Wakuu habari zenu,
Nakumbuka Tanzania kuna mtu aliwahi kushtakiwa kwa kusema Yesu sio Mungu miaka ya 2005 hivi.
Ni wapi naweza kupata nakala ya Hukumu hio au kama kuna mtu anayo anisadie nahitaji kujifunza baadhi ya mambo humo
Natanguliza shukrani.
Mkuu, bila shaka ni kasi ya Dibagula. hii hapa
 
Attachments

  • dibagulas case. freedom of worship.pdf
    546.3 KB · Views: 73
Exactly. Sammata alikuwa akitoa hukumu na reasoning yake unaiona, tena iliyosimama. Si majaji wetu wa sasa ni kutoa uamuzi tu lakini reasoning hakuna
Mkuu Dragoon....
Jaji Mkuu Samatta namfananishaga na Jaji mmoja wa US Supreme Court anaenda kwa jina la Justice Scalia (R.I.P) ebwana naye alikua na hukumu Heavyweights kama za Jaji Mkuu Samatta.

Ukisoma lazima ucheke! Na kufurahi.

Nafikiri malengo ni tofauti Samatta alitaka kuacha Legacy na kweli ameiacha ni tofauti na majaji wa sasa hivi....

Pia Samatta ni mtu wa kutembelea kwenye haki sana...so kama unatembelea kwenye haki huwezi kukosa reasoning ila kama unakurupuka kwa maslahi fulani huezi kua na reasoning zaidi ya ubabe na order order
 
Ninakuandalia mkuu, kaa mkao wa kula tu
Ntashukuru sana mkuu hata kama zipo 1,000 kama inawezekana naziomba zote mkuu.

Pia naomba hizi sana

1.JARIBU ABDALLAH V R CRIM APP 220 OF 1994 CAT DAR 2001 UNRPTD.

2. EMMANUEL SENYANGWA V R 22 OF 2004 CAT DAR 2006 UNRPTD

3. KIKUYU KIMONDI V R CRIM APP 99 OF 1991 CAT MZA 1991

4. SPERATUS THEONEST V R CRIM APP 138 OF 2005 CAT MZA 2007

5. LUBELEJE MAVINA V R CRIM APP 172 OF 2006 CAT DAR 2006 UNRPTD

6. CHRISTOPHER NYIMBO V R. CRIM APP 31 OF 1997 CAT MBEYA 2004

7. KAZILO SAMBILA V R CRIM APP 122 OF 1990 CAT MWANZA 1991 UNRPTD

8. FELIX LUCAS KISINYILA V R CRIM APP 129 OF 2002 CAT DAR 2005

9. ANNES ALLEN V DPP CRIM APP 173 OF 2007 CAT ARUSHA 2010
 
Mkuu kama ulizipata nawewe ziweke humu watu wazisome
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom