Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali
kuna jamaa alinimbia anauza magari kwa kukopesha, ila natakiwa nimpatie advance ya laki 5.... nikampatia pesa na ajanipa gari mpaka leo, je naweza kwenda kumfungulia kesi na bahati mbaya...
Dear Members,
I humbly seek your advise wide the legality of the monthly Saragambo exercise since it appears to be the area I reside in is being dictated by the Chairman.
1. Recently he...
Turejee kesi ya serikali dhidi ya Kamanda Tundu Lissu ambapo mawakili wa serikali walitaka wakili Kibatala aliyekuwa upande wa Lissu awe shahidi namba 1 wa mshitaki.
Kwa kuwa Wakili Kibatala...
Ambonyi,
Kufuatia tukio lililotokea mwishoni mwa wiki iliyopita, ambapo tulishuhudia Polisi wakitumia gharama kubwa kumkamata na kumsafirisha Tundu Lissu kutoka Singida mpaka Dar kwa ajili ya...
Sijui kama wengi mmeshagundua kwamba kuna tatizo kubwa sana la mawakili weledi hapa nchini. Wakili weledi ni yule ambaye ukimpa kesi anaielewa kiasi kwamba ukishamaliza kumpa maelezo wewe...
Turejee kesi ya serikali dhidi ya Kamanda Tundu Lissu ambapo mawakili wa serikali walitaka wakili Kibatala aliyekuwa upande wa Lissu awe shahidi namba 1 wa mshitaki.
Kwa kuwa Wakili Kibatala...
Nimekuwa nikisikia viongozi wengi wa serikalo na siasa hasa wa chama tawala wakitaka kumbana mtu unawasikia wakisema kwa mujibu wa sheria. Sijawahi kuwasikia wakinukuu kwa usahihi sheria yenyewe...
Habari za asubuhi ndugu,
Naomba msaada wa kisheria juu ya jambo lililonisibu katika ajira nliokuanayo katika kampuni moja hapa Tanzania. Nimefanya kazi kwa miezi 7 katika kampuni moja na baada ya...
Habari ndugu Wanasheria,
Nilikuwa najaribu kukusanya viambatanisho vinavyohitajika kwa ajili ya kukamilisha maombi ya hati ya kusafiria, sasa kiambatanisho kimoja (Affidavit ya Mzazi) ambacho ni...
Wadau naomba kujua raisi ana kinga gani ya kutokushtakiwa kwa mujibu wa katiba akiwa madarakani sheria inasemaje najaribu kutafakari vipi wakati mkapa kaenda kutoa ushaidi mahakamani wakati wa...
Habari wakuu!
Naomba nipate muongozo wa nini cha kufanya, kuna frame ya biashara nilipata Mjini Morogoro mwaka huu kodi ya pango ilikuwa ni laki mbili kwa mwezi, sasa kwa kuwa nilikuwa na uhitaji...
Habar za asubuh ndugu!
Naomba msaada wa kisheria juu ya jambo lililonisibu katika ajira nliokuanayo katika kampuni moja hapa Tanzania!
Nimefanya kazi kwa miez 7 katika kampuni moja na baada ya...