Mtoto kuuwa bila kukusudia

Ringi

Member
Sep 1, 2016
10
6
Mambo vipi wadau.. Nahitaji kujua ni sheria ipi na adhabu gani anayopewa Mtoto wa chini ya miaka 10 anapouwa bila kukusudia..
 
Akiwa amekusudia au hajakusudia? Au weka scenario ya tukio mpk akaua.
Ingawa mara nyingi hukumu hua ni kupelekwa correction facility ila uwezekano wa kuhukumiwa hukumu kama mtu mzima upo.
 
Hajakusudia, mfano amewasha moto akatupa sehemu yenye kichocheo chochote na ukasababisha moto mkubwa ambao ukapelekea vifo vya watu..
 
Sheria zetu zimeweka wazi kuwa mtt chini ya miaka 12 hawezi kuhukumiwa kwa kosa la jinai isipokua na endapo tu itathibitika kua wakati akifanya kosa hilo alikua akitambua fika kua anachofanya ni kosa.(yn alikua akielewa kua hakupaswa kufanya hilo jambo)

Lakini mtt chini ya miaka 7 hawezi kuhukumiwa kwa kosa la jinai la aina yoyote...hii ni kwa mujibu wa sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai (Penal Code) kf 15

Sambamba na hilo wtt wanamahakama zao maalumu, juvenile courts na adhabu hutolewa kwa hekima za majaji, kwa kuzingatia uzito wa kosa husika, madhara na sababu nyinginezo km wataona inavyofaa...

Vilevile adhabu mara nyingi huwa ni nyepesi na zile za kulenga kuwabadilisha wtt kitabia mfano viboko, kazi nyepesi nk
 
Safi sana.
 
Hajakusudia, mfano amewasha moto akatupa sehemu yenye kichocheo chochote na ukasababisha moto mkubwa ambao ukapelekea vifo vya watu..
Kuna hii... vitoto vilikuwa vinaact msiba. vikachimba kaburi na kumzika mwenzao akiwa hai... Havikujua ndo vinamuua maskini...
 
Hajakusudia, mfano amewasha moto akatupa sehemu yenye kichocheo chochote na ukasababisha moto mkubwa ambao ukapelekea vifo vya watu..
Sijui sheria inasemaje, ila kwa kutumia busara tu sidhani kama atapewa adhabu yoyote kwa umri huo.
 
Back
Top Bottom