News Alert: Je Wakili anaweza kukugeuka?

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,023
Wakuu eti wakili anaweza kukugeuka au kwa makusudi akasababisha ushindwe kesi kwa kushindwa kukutetea?

Nilipata kusikia wakili anavujisha siri na ushahidi wa mteja wake baada ya aliyekuwa anapambana nae kumtia mapesaa.

Hii imekaaje, Je naweza mshitaki?
 
Ni kosa la kimaadili kwa wakili kuvujisha siri za mteja wake, na kama una ushahidi wa namna hiyo unaweza kumshtaki ndio katika kamati ya nidhamu ya wanasheria..kwa urahisi unaweza peleka malalamiko yako katika chama cha wanasheria Tanganyika huko utapewa namna ya kufanya..
Kama binadamu mwingine mwenye tamaa, wakili anaweza kukugeuka kwa kufanya kazi chini ya kiwango - pia unaweza kumshtaki kwa uzembe wake wa kitaaluma...ila njia nzuri ni kumkataa kama utagundua mapema kuwa hana nia ya dhati kufanya kazi yako
 
wakili anaweza kukugeuka kwa kufanya kazi chini ya kiwango - pia unaweza kumshtaki kwa uzembe wake wa kitaaluma...ila njia nzuri ni kumkataa kama utagundua mapema kuwa hana nia ya dhati kufanya kazi yako

In my neck of the woods we call that ineffective assistance of counsel!
 
Back
Top Bottom