Kiwanja Changu Kinamgogoro

wang'ambo

Senior Member
Nov 29, 2015
113
27
Wasalamu wana JF nimenunua kiwanja mwezi Aprili nikakilipia %90 zikabaki hizo zingine,kabla sijamalizia naenda site nakuta jirani yangu alieuziwa kajenga kaingia mpk kwenye eneo langu,kisheria hapo nani anastahili kulishughulikia hili?, maana nimeongea na yule alieniuzia japo malipo sijamaliza yote naona anazingua nikimpandia MAHAKAMANI naweza pata msaada au kisheria mimi ndio natakiwa nilishughulikia mpka mwisho?
 
Huyo alieingia mpaka kiwanjani kwako anasemaje? Kwamba ameuziwa mpaka huko kwako au amevamia tu kwa kudhani ni eneo wazi? Sema majibu uliyopewa na wote, muuzaji pamoja na huyo aliyejenga mpaka kwako then tutaendelea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom