Tume ya Utumishi wa Umma yaruhusu mtumishi kurudi kazini baada ya makosa ya mwajiri: Je, anastahili kulipwa mishahara aliyokosa?

Myhope

Senior Member
Jul 20, 2017
154
67
Mtumishi wa umma aliyerudishwa kazini na Tume ya utumishi wa umma kwa masharti kwamba shauri likaanze upya kwa sababu Mwajiri alikosea utaratibu wa kisheria, akirudishwa anastahili kulipwa mishahara yake kwa kipindi alichokuwa nje ya kazi au hastahili kulipwa?

Naomba msaada hapo.
 
taratibu za kazi zinabaki vile vile kama katika sekta binafsi, namaanisha kama alisimamishwa kazi kupisha uchunguzi na alikuwa halipwi mshahara wake basi akirudi lazima alipwe stahiki zake isipokuwa hataweza kulipwa kama alisimamishwa kazi kama sehemu ya adhabu baada ya kikao cha kamati ya nidhamu(disciplinary suspension)
 
Mkuu hebu fafanua kidogo, anasimamishwa kama sehemu ya adhabu halafu tena anafukuzwa kazi, hapo si zibakuwa adhabu mbili kwa kosa moja?
 
uko sahihi,ukisha msimamisha kazi kwa sababu za kinidhamu HURUSIWI kumfukuza kazi au kumpa adhabu nyingine inayotoka na kosa alilokwisha adhibiwa,ila kama alisimishwa kazi huku akilipwa mshahara kwa ajili ya kupisha uchunguzi unaweza kumfukuza kazi kwa sababu za kinidhamu. cHECK PAGE NO 69 PARA 5- ON SUSPENSION OF GN 42 OF 2004.
 
Attachments

  • SUSPENSION PENDING DISCIPLINARY COMMITEE.pdf
    2.8 MB · Views: 18
uko sahihi,ukisha msimamisha kazi kwa sababu za kinidhamu HURUSIWI kumfukuza kazi au kumpa adhabu nyingine inayotoka na kosa alilokwisha adhibiwa,ila kama alisimishwa kazi huku akilipwa mshahara kwa ajili ya kupisha uchunguzi unaweza kumfukuza kazi kwa sababu za kinidhamu. cHECK PAGE NO 69 PARA 5- ON SUSPENSION OF GN 42 OF 2004.
Mbona nyaraka ulioambatanisha sio yenyewe??
 
Mtumishi wa umma aliyerudishwa kazini na Tume ya utumishi wa umma kwa masharti kwamba shauri likaanze upya kwa sababu Mwajiri alikosea utaratibu wa kisheria, akirudishwa anastahili kulipwa mishahara yake kwa kipindi alichokuwa nje ya kazi au hastahili kulipwa?

Naomba msaada hapo.
Swali ni mishahara yake anastahili au hastahili?
 
Back
Top Bottom