Senior masai
Member
- Jul 7, 2016
- 93
- 99
Naomba kujua hivi sheria inawalindaje/inawahumu vipi wazee wakorofi wanaopenda matusi, kubaka watoto wadogo na mambo mengine ya kinidhamu
dahh hapo umeniacha ndugu yangu,! Mimi mgeni kwenye hayo mwaswala naomba unifafanulie kwa undani zaidiSoma Penal Code