Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

JF Prefixes:

Hii kitu inaitwa kubambua. Ipo sana huku Kilimanjaro, sijui mikoa mingine kama ipo. Ni hivi: Kwa mfano kamati ya shule ya msingi imeamua kila mtoto alete shuleni mahindi debe moja na maharage sado...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
South Dakota murderer executed by lethal injection for beating to death prison guard with pipe during botched escape A South Dakota man who beat a prison guard with a pipe and covered his head...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Frederick Werema amekerwa na kauli ya Balozi wa Uswisi nchini Olivier Chave, aliyesema kuwa Serikali ya Tanzania haijaonyesha nia ya dhati kutaka kuchunguza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeona mchina kakiri kutoa rushwa ya sh500000,kahuhukumiwa kifungo miaka 3 au faini sh 700000.kalipa faini anapeta huko china angenyongwa!
0 Reactions
1 Replies
974 Views
Wakuu, Nimeshuhudia jamaa kadhaa wakikamatwa hata na makosa madogo madogo (mengine ya kusingiziwa) wanapopelekwa polisi huswekwa rumande (lockup) kabla hata ya kuandikishwa maelezo wala...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Kama unasikiliza jahazi la clouds fm sasa hivi utagundua hii redio badala ya kulaani hicho kitendo, watangazaji wameamua kuchekesha wasikilizaji..endelea kusikiliza jahazi.
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Jamani JF wanasheria natafuta African Legal Associan ambayo unaweza kuwa unachangia michango yako kupata michango ya kisheria toka kwa wengine, au yenye conference, seminars au workshop and short...
0 Reactions
0 Replies
625 Views
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amekata rufaa katika Mahakama ya Rufani akiiomba mahakama hiyo imrejeshe bungeni aliyekuwa Mbunge wa Sumbawanga Mjini, Aeshi Hilaly, kupitia tiketi ya CCM. Hilaly...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Newhabari wanalipa TRA lakini hawataki kulipa michango ya wafanyakazi. Naomba msaada wa kisheria tufanyeje ili kuwashinikiza walipe michango yetu ya PPF?
0 Reactions
0 Replies
660 Views
Thursday, May 31, 2012 Imeandikwa na Sifa Lubasi, Dodoma WANACHUO wa Chuo Kikuu cha St John mjini Dodoma, leo wamegoma kuingia madarasani hadi wawasilishe malalamiko yao kwa Kamanda wa...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Habari zenu wakuu! Tumezaliwa wanne kwa mama mmoja,baba tofauti.Wavulana wawili,wasichana wawili.Mama amefariki,ameacha pesa na nyumba pamoja na kiwanja.Pesa imegawanywa kwa kufuata sheria za...
0 Reactions
1 Replies
987 Views
Kwenu wana JF eti mtu anakudai let say pesa. Na wewe ukakubali unadiwa na akaenda polisi nako ukakiri. Utaratibu unakuwaje? Na je mahakamani utaratibu wa kesi kama hii ukoje?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana Bodi salamuni. Naomba kuwasilisha kuwa, Mwenyekiti wa Ulinzi na Usalama mkoa wa Mwanza, Mhandisi Evarist Ndikilo, yuko katika wakati mgumu kutokana na yeye kushiriki kikao cha usuluhishi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
nimetazama kwa masikitiko jinsi watoto watanzania walioenda kulilia baba yao (serikali) awaepushe na janga la kubakwa walivyosurubishwa na dola. huu ndiyo uhalisia wa jeshi letu; ukienda polisi...
1 Reactions
49 Replies
6K Views
Nimdaije mdeni wangu kwa kufuata sheria kwa sababu ninachomdai atukupeana kimaandishi wala kisheria naombeni msaada wenu
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Taasisi kupitia blog yake www.rafikielimu.blogspot.com ilitangaza nafasi za masomo kwa kozi ya NGO MANAGEMENT, watu wamechukua fomu na kulipa ada ya maombi 12000 na ada ya mafunzo 135000 kupitia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni raia wa Tanzania kwa Kuzaliwa, nimekuwa na safari ndefu ya kutafuta maisha, bado sijafanikiwa sana lakini kidogo hivyohivyo. Nimefungua shamba la mifugo ambalo kidogo lipo porini. Kidogo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
WanaJF. Ndugu yangu anaomba msaada wa kisheria ili newHabari na PPF wamlipe mafao yake. Pliz tusaidieni how 2 go about ili zilipwe haraka
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WANAJF, The Citzen TV ya Kenya katika taarifa yake ya habari ya saa 3 usiku imeonyesha kwamba kuna shehena kubwa sana ya PEMBE za NDOVU imekamatwa katika bandari ya Mombasa ikiwa inasafirishwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mara nyingi sana tunamshuhudia polisi Suleiman Kova,mbele ya vyombo vya habari hasa televisheni, akijinasibu kuwa,jeshi la polisi limewatia mbaroni, majambazi sugu tena wakiwa na silaha nzito za...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom