Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Prof. M.Wambari, Chuo kikuu cha Dar es Salaam, ambaye amekuwa akitoa mchango mkubwa katika maendeleo ya sheria tanzania kwa muda mrefu, ni masikitiko makubwa sana kwamba hayuko hai tena. Prof...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mwendesha mashitaka Zanzibar amerudisha faili polisi na kuwaambia wamtafute muuaji wa Padri Mushi,kwani aliyekamatwa sii muuaji.Tatizo linakuja katika sheria zetu kuhusu kuua na ushahidi wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hii imekaajae tumekaa pale Johannesburg hotel Sinza,tumekula tumekunywa baadae tunaletewa bill iloandikwa kwa mkono then tukaomba ile ya TRA,kilichotupata baada ya hapo ni kuitwa wahuni na meneja...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
wana jf salaam zenu,naomba kuuliza vipi huko tra zoezi la ubadilishaji leseni limeshasimamishwa mwisho wa mwezi march au bado linaendelea na huu mwezi april !!!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu waheshimiwa,kwenye familia yangu kuna tatizo kubwa sana kati yangu na ndugu na kisa mafanikio yangu madogo wanataka kunitoa roho,kifupi kuna binti naishi naye nimezaa naye mtoto...
3 Reactions
51 Replies
6K Views
nimebahatika kumiliki kiwanja kwenye potential area hapa dar-es-salaam , ukweli ni kwamba serikali lazima ichukue hatua madhubuti sana ili kuzuia maafa mengine yasitokee, wafanyabiashara wengi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa anaejua taratibu za kupata uraia wa Tanzania.. Jee kujua kiswahili sio sifa kuu ya kutunukiwa uraia wa nchi yetu tukufu..?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
heshima yenu wanajamvi! Poleni kwa majukumu mazito ya kuijenga nchi! Kwa kifupi nilikuwa nafanya kazi na taasisi binafsi, katika muda wote wa kazi sikuwah kuona au kusaini mkataba wa aina yeyote...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakili Nyaga Mawalla wamjini Arusha amefariki dunia leo asubuhi jijini Nairobi alikoenda kutibiwa.
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Askari wa Jeshi la Polisi, akimpekua padri kwenye eneo la kuingilia Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam wakati wa ibada ya mkesha wa sikukuu ya Pasaka juzi. Ulinzi uliimarishwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hivi sheria inamruhusu askari polisi kufanya kazi ya ulinzi kwa wachi?Maana hata kazi yao wameitelekeza kabisa! Wanapewa mpaka job card ambayo husainiwa kila anapotoka.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu wanasheria huwa nasikia hii kitu, ni mazingira gani yanasababiha Preminary Hearing, hasa kwenye kesi za traffic?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
post hii naileta hapa kwenye jukwaa la sheria nikiwa na matumaini kwa wanajamvi pamoja na mengine kunisaidia masuala ya kisheria imekaaje,.mimi ni mtumishi wa MAMLAKA YA RELI YA TANZANIA NA ZAMBIA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za sikukuu wakuu! Ninaomba ushauri wenu kwenye hili ninalosimulia hapa chini. Ni kwamba hapa ninapoishi nina jirani yangu ambaye ana plots 2, moja niko opposite nayo na nyingine ni ya nne...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Rufiji: Watu wawili wanaodaiwa kuwa raia wenye asili ya Somalia, wamepewa ekari 100 za ardhi na Halmashauri ya Kijiji cha Chumbi C, Kata ya Chumbi, wilayani hapa bila kushirikisha wananchi wala...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naomba ushauri. Nyumba yangu ina ukuta na geti. Mtu hawezi kuingia bila kukaribishwa, labda awe mwizi. Nataka kutega umeme madirishani na mlangoni ili kama mwizi karuka ukuta akigusa tu...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kuna kijana amefanya ka kwa wachina miezi miwili,kabla ya kupewa mkataba,akapata ajali akiwa kwenye gari la kazi akaumia nyonga,je afanye nini ili apate haki yake?
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Habar wakuu.nimesababisha ajar nimegonga m2.usafiri wangu uko polisi mgonjwa amelazwa.nifanyenje kama atakufa,ndugu zake wanasema nichangie gharama za hospital nanimefanya hvyo,sasa kisheria...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Raia wa China,Xu Wenze (29) amefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi Wilaya ya Mpanda akikabiliwa na tuhuma za kukamatwa na meno matatu ya fisi.Mwendesha mashitaka wa hifadhi ya wanyamapori ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
hili swala ambaye amelishikia bango zaidi ni mbunge wa temeke mh' abbas mtemvu na mkuu wa wilaya wa temeke Sophia Mjema. wanaendelea kuwalagai wananchi wakati wanajua kesi ipo mahakamani.kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom