Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Hivi nchi inaweza kua naamani kwa kutumia sheria pekeyake?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wakuu naomba mwenye kuweza kunisaidia judgement ya Waziri Amani v The Republic [1980] TLR 250 tafadhali!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba mnifafanulie "The imposition of sentences in civil cases"
0 Reactions
3 Replies
888 Views
Do we have a data privacy Act or any other laws dealing with Data Protection in Tanzania? If "YES" please i would love to get a copy and if "NO" then how do we deal with Data Privacy issue in...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
nimemuwekea mtu dhamana kwa kosa la kudhuru mwili yaani shambulio sasa nataka kujua kuna madhara gani nitakayoyapata mimi
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Mwezi mmoja uliopita jeshi la polisi lilitangaza kukamatwa kwa magunia tisini ya bangi na ushahidi wa picha ulikuwepo chakushangaza ni hayo magunia yalikua tisini pindi walipoyakamata,muda huu...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wana JF, kesi inayomkabili Lwakatare haina tofauti na Ludovick. Hukumu atakayopewa Lwakatare lazima pia iwe sawa na Ludovick. Kama kweli Ludovick katumiwa na mzee wa mipango aitwae Magulu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
naomba tafadhali mwenye taarifa sahihi kuhus kesi inayomkabili yule kijana wa kikenya aitwaye joshua atueleze kama kesi yake nayio ni ya kigaidi kama hii inayomkabili nlwakatare.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanga. Hatimaye, wahamiaji haramu 47 wa Ethiopia waliokamatwa wakiwa wanasafirishwa ndani ya makontena, wamehukumiwa kifungo cha miezi sita jela kila mmoja, baada ya kupatikana na hatia ya...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
KWA UFUPI Mwanamke ambaye ni ndugu wa washtakiwa hao, alionekana kama mtu “aliyepandwa mashetani” na kutaka kumvamia askari wa kike ambaye katika kujihami alimpiga ngumi, kisha watu wakafanikiwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu hata kama Lwakatare atafunguliwa kesi uwezekano wa serikali kushinda ni mdogo sana, soma hapa chini. A Youtube picture/video by itself is not enough to win your case. “If you cannot prove...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekuwa nikisikia kila mara madiwani wa halmashauri fulani wamemwazimia mtumishi fulani tena maeneo mengine madiwani wamemkataa mtumishi fulani labda mkurugenzi au yeyote. Najiuliza kama hivyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Peter Serukamba. KWA UFUPI “Kutokana na kazi kushindwa kufanyika kwa wakati hasa kutokana na zuio la wananchi mahakamani.” Dar es Salaam. Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu wanakusudia...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Jamani juzi tu tumemzika Dada yetu Elikiza, leo trafiki mwingine kama anavyoonekana. Jamani madereva tuhurumieni.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Je ni kosa kuendesha gari ambalo kioo cha mbele kina Crack (ndogo) ? maana nasumbuliwa sana kwa hili... je wale ambao wameweka ribbon kama urembo kuuficha hiyo crack mbona hawasimamishwi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Naomba kupata mchanganuo wa jinsi sheria inavyo weza kumlinda mwanachi wa kawaida kuhusu hili. Makampuni ya simu yamekuwa yakifanya wizi ambao unaonekana wazi ama usumbufu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ninaitaji msaada wa kisheria tafadhali je endapo umeishi na mwanaume kwa mda wa miezi 8 pasipo kufunga ndoa na katika kuishi kwenu kuwepo na haadi za kufunga ndoa hapo baadae lakini ikatoea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
BREKIN NEWWWWS WAFUASI 52 WA PONDA WAHUKUMIWA KIFUNGO CHA MWAKA MMOJA JELA BOFYA HAPA KUPATA HABARI KAMILI
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kukaa rumande kwa zaidi ya saa 24 bila kufunguliwa mashitaka. Je huu si uteswaji wa wazi. Au ndio yuko kizuizini? Tumpokee lini mtaani kama shujaa kwa mkutano
0 Reactions
28 Replies
3K Views
when does the life start according to the law?help me please!
0 Reactions
1 Replies
710 Views
Back
Top Bottom