Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

KWA UFUPI Wakaniangalia kana kwamba nimetoka kwenye sayari nyingine. ‘Hii ni Tanzania Bwana. We vipi?’ ‘Kwani hii ndiyo maana ya Utanzania?’ ‘Sasa. Wale wasomi wenzio wanakwapua mabilioni, wewe...
0 Reactions
0 Replies
974 Views
HI. naomba nisaidiwe katika hili,kuna haki gani anayotakiwa kupata mfanyakazi ambae amesitishiwa ajira yake eti kwasababu elimu aliyokuwa nayo haiendani na nafasi ya kazi aliyonayo kwa wakati...
0 Reactions
0 Replies
808 Views
Mtoto wa Kaka yangu ilikua apelekwe india kwa ajili ya macho i mean alikua na uvimbe watu wa insurance yake wakachelewa kumpatia go ahead wakawa wanamzungusha miezi mingi tu mpaka amekua kipofu...
0 Reactions
0 Replies
787 Views
Mimi nidereva wa kampuni nilioajiriwa.. Hufanyishwa Kazi nyingi tofauti na Kazi yangu ya udereva na kwamalipo Yale Yale...!! Swali langu ni Jeh Sheria inambana vipi muekezaji kama Uyu...!!!?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndg wan JF, kujua kesi ya Rwakatale inaanza kusikilizwa lini? Mbona sijasikia hata humu jukwaani ni lini inaanza kusikilizwa? naomba kufahamishwa au ndo ushahidi bado?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
jaman natishiwa maisha,naogopa kutoa taarifa police
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Estimated value of the deceased estate determines the appropriate court to file an application for grant of probate or letters of administration. Critically discuss basing on the current updates...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Ningependa kujua ni lini ile sheria ya kua kila kampuni ya kibiashara ambayo inataka kuwekeza katika sekta yoyote ni lazima ipewe miaka kadhaa ili baadae ndio ianze kulipa kodi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kesi tajwa huenda ikachukua muda zaidi, ikiwa haki itatendeka, kwa maana ya hadi wahusika wote washukiwa katika kesi hii watakapo hojiwa... Kwa jinsi hali ilivyo sasa wanaopaswa kuunganishwa na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Helloh peoples...........................! may u tell me the source of labour law in Tanzania? Function and composition of the labour court in Tanzania identify institution that implement...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Ni Mkuu wa Upelelezi aliyemnasa vibao, mateke na ngumi akiwa ofisini Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Wilaya ya Lushoto Wilson Yona (35), amekiona...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa wana JF: Naamini nyote mnakumbuka utaratibu n amatangazo ya kuboresha taarifa za kibenki kwa wale wenye akaunti zao. Naomba kuwakumbusha tangazo la NBC, pamoja na maelezo mengine benki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Yule mtuhumiwa wa mauaji ya padre Mushi ameonekana hana hatia kwa mujibu wa DPP Zanzibar na kutaka jeshi la polisi limtafute muhusika. Habari na ITV saa 2
0 Reactions
44 Replies
6K Views
katika pitapita yangu mwezi uliopita nilikutana na kisa cha hawa jamaa wenye dhamana ya kukusanya ushuru wa maegesho ya magari jina la kampuni inaanzwa na P ,walimvamia dada mmoja kwenye gari lake...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za jioni wakuu...ni matumaini yangu weekend iko poa kwa upande wenu. kuna suala moja la kisheria ambalo ningependa kuomba msaada wenu, suala lenyewe ni kama ifuatavyo kuna bro wangu ambaye...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Tatizo la wananchi kujichukulia sheria mkononi sasa ni janga la taifa. Hali hii imeachwa kustawi, ikashamiri na sasa ni janga ambalo linamnyemelea kila mmoja wetu. Hakuna aliyeko salama. Ukiacha...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwenye mazingira kama ya tukio la jengo kuporomoka na kusababisha vifo; je familia zinaweza kuleta kesi ya "wrongful death"? Kuna Sheria Tanzania inaweza kusaidia hili na wapo wanasheria...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Baada ya mvutano wa kisheria kati ya jeshi la polisi na mwendesha mashtaka wa serekali hatimaye Omar Mussa Makame(mgombea ubunge kwa tiketi ya CUF 2010 jimbo la Raha Leo) Mtuhumiwa wa mauaji ya...
0 Reactions
73 Replies
12K Views
MAHAKAMA ya Mwanakwerekwe, Zanzibar imefuta kesi iliyokuwa ikiwakabili viongozi kumi wa Jumuiya ya Uamsho, visiwani Zanzibar. Mahakama hiyo, imefikia uwamuzi huo leo, wakati viongozi hao...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
WATUHUMIWA 11 WA GHOROFA LILILOANGUKA DAR WAFIKISHWA MAHAKAMANI... HABARI 2 MUHIMU: Hakimu aagiza mtuhumiwa wa wa mauaji ya padre Evaristus Mushi Hakimu wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, Isaac...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom