Jukwaa la Sheria (The Legal Forum)

Wewe ni mwanasheria? Je, wahitaji na ufafanuzi kuhusiana na sheria mbalimbali Tanzania? Ni fursa yako ya kuweza kuuliza, kuzipambanua sheria mbalimbali

On JF:

Kardinal Pengo ana haki zote kuhoji ni wapi upepelezi wa mauaji na kupigwa risasi kwa mapadri kulikofikia. Kardinal Pengo akiwa kiongozi mkuu wa mapadri na waumi wake ana haki za kuhakikisha...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana JF naamini ndani ya jukwaa la sheria nitapata msaada wa hili neno "Defence Alibi" maana yake nini?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Amani na mshikamano ukae nanyi wote wakuu wa JF! ni mara ya kwanza kuanzisha mada katika jukwaa hili. Mimi sio mwanasheria na ngependa sana kujua kwanini wahalifu mbalimbali wanapokamatwa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nimegundua kuna mtu kaiba jina analitumia kimasomo. Msaada wa kisheria kuhandle hii issue. amekopa hata bodi ya mikopo. msaada wandugu.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii imetokea leo mapema.source afande wa oysterbay
0 Reactions
54 Replies
8K Views
nataka kufahamu if corona court is part among the other types of court
0 Reactions
0 Replies
839 Views
1.inapotokea umeenda polisi kupeleka malalamiko yako....pale charge room huwa kuna kitabu ambapo charge room officer huandika maelezo.nataka kujua a.kile kitabu kinaitwaje? b.ndani ya kile kitabu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Waheshimiwa wana JF Nimeleta taarifa hii ambayo chanzo chake ni WAPO FM inayosema kwamba hapo jana mnamo majira ya saa kumi jioni maeneo ya Kinondoni Mkwajuni Bondeni kulitokea mauaji. Tukio hilo...
0 Reactions
64 Replies
9K Views
bofya hapa lakin samahani nimeshindwa kuweka maelezo ni mengi mno
0 Reactions
10 Replies
2K Views
JESHI LA POLISI LINAWASHIKILIA MHANDISI MKUU (MAIN CONTRACTOR) WA JENGO LILILOPOROMOKA NA MHANDISI WA WILAYA YA ILALA AMBAYE NDIE ALIYETOA KIBALI CHA KUJENGWA JENGO HILO LAKINI PIA MKUU WA MKOA...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
"District court na Resident court.. ni mahakama zenye mamalaka sawa,na hakimu wanaohusika katika mahakama hizi wana elimu sawa yaani wote wana degee ya sheria...tofauti inakuja kwenye kusikiliza...
0 Reactions
2 Replies
987 Views
Tunaofanya kazi mahakamani, tunachoshwa na usanii huu. Huyu kijana katolewa, kamwacha Mwenzake kwa kipi hasa na huko alikopelekwa ni wapi, baadaye sisi tuanze kualaumiana. Binafsi naona kama DPP...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kumekuwepo na taarifa zinazojirudia rudia zihusuzo mauaji ya vikongwe hususan wanawake katika mikoa ya Kanda ya Ziwa. Mara nyingi mauaji haya huhusishwa na imani za kishirikina na kwa bahati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar (DPP), Ibrahim Mzee Ibrahim. Mahakama Kuu ya Zanzibar imemtaka Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar (DPP), Ibrahim Mzee Ibrahim, kuwasilisha kwa maandishi sababu za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naibu Waziri,Mahadhi Juma Maalim. Yapo baadhi ya mambo yanayotokea Tanzania ambayo hakika hayawezi kutokea mahali pengine duniani. Ebu fikiria kisanga hiki. Pamoja na kuthibitishwa wizi wa zaidi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
KENYA PRESIDENTIAL PETITION UPDATES IN SUMMARY FORM The updates of hearing of presidential election petition in Kenya are as summarised hereunder. First but not foremost, an application...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna maeneo ni mashamba ambayo yanalimwa na wazazi wetu. Halmashauri wanataka kuuza viwanja eneo hilo na wanasema hatupati chochote, je sheria ya ardhi inasemaje? Hatuna haki ya kumiliki viwanja...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
habari wana jf nimemuweke mpangaji mwenzangu dhamana kwa kosa la shambulio je kwa kosa kama hili kama akikimbia nini kitatokea kwangu na solution nini je mlalamikaji asipotokea mahakamani itakuaje
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna kesi ya madai ilipelekwa mahakama kuu ikafutwa tar 21 .mwezi wa pili leo ikaanza tena alafu ikapangwa mahakama ya wilaya ni sawa
0 Reactions
11 Replies
2K Views
habari wanaJF.. Naomba ufafanuzi wa kisheria katika hili... story ina mlolongo mrefu sana, ila naomba niandike kwa kifupi sana ili muweze kunielewa nahitaji nini hasa.. Baba alipofariki miaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom