Chipsi ni chakula kinachopendwa na watu wa rika zote.Ni moja ya vyakula maarufu sana Duniani.
Chipsi hupikwa na kuliwa katika namna mbambali,kwa kawaida huliwa na vyakula vyenye asili ya protini...
Supu/mchuzi wa Kichwa cha Sangara
Moja kati ya mambo ninayomiss sana kuhusu my home town MWANZA A.K.A. THE ROCK CITY ni Samaki.Samaki wanaopatikana ziwa Victoria wana sifa kubwa sana kitaifa...
MAHITAJI
VIAZI VITAMU
NYAMA YA NG'OMBE/KUKU /SAMAKI(Chagua kimoja kwa mlo unaweza kubadili kwa mlo mwingine)
NJEGERE
KAROTI
VITUNGUU VIKUBWA VIWILI
TANGAWIZI kiasi
BLUE BAND vijiko viwili vikubwa...
Unachotakiwa kufanya ni kuleta msosi wa wiki nzima wa familia ambao hauna ugali wala wali wala ngano...
Sababu ni kuwa licha ya kuwa kuna vyakula vya kila aina watanzania wengi huwa tunakula...
Nilishawahi kula nyama za kukaanga eneo fulani hivi, kwakweli nilivutiwa nazo sana!
leo nipo home kinda bored nikakumbuka hizo nyama, mwenye ueledi wa jinsi ya kutengeneza hizo nyama za kukaanga...
Mtori ni moja ya vyakula ambavyo nafurahia sana kula ninapokwenda kijijini kumsalimia bibi yangu kule uchagani.
Naamini wote tunajua kua mtori ni moja ya vyakula vya asili vya wachaga,kwakawaida...
Mchele wa brauni,unaojulikana zaidi kwa jina la kiingereza Brown rice,Ni mchele wenye wanga salama na unabeba virutubisho vingi kuliko mchele mweupe ,vitamin B1,B3,fatty acids,magnesium,iron na...
Nahitaji ile meat hand grinder kibongo bongo naipata wapi hapo dar nimtume mtu anichululie na sh ngapi??
Maana hawa wahindi wa supermarket kumaynina zao nyama hata robo haijafika eti 5000 ???
Wizi...
Pengine umewai kujiuliza kwanini ukiifadhi viazi ulaya au viazi vitamu nyumbani havikai muda mrefu vikiwa vizima ,naamini mara nyingi umehifadhi viazi vikaaribika kwa kutoa maji,kutengeneza...
Eti wanjamvi..nimuwekee nini mbuzi choma anogeee had nijisikie kweli nimemla..
Kuna chef mmoja nilimuamini nikamkodi aliweka weka vikorombwexo hakuvutia kwakweli...nipeni maujuzi tafadhali
Pishi hili ni maalum kabisa kwa wale ambao ni wageni jikoni au hawajui kupika.Niliomba nipewe pishi la futari ambalo hata asiejua kupika anaweza jaribu na akapatia,nikapewa pishi hili.Shukurani...
Recipe/Mapishi ya MAIDANA DEMARNY
Mahitaji
Maharage 1/2
Chumvi kijiko cha chai 1
Nazi kopo 1/ nazi ya kawaida 1 kubwa.
Kitunguu maji 1
Kitunguu swaumu punje 2
Binzari kidogo
Njia
1...
Recipe/Pishi la Raphia Hussein
Mahitaji
Ndizi Malindi 5
Nyama ya Ng'ombe½ kilo
Vitunguu maji 2
Vitunguu saumu kijiko 1 cha chai
Nyanya 3
Binzari ½ kijiko cha chai
Chumvi kwa kiasi chako
Hoho 1...
Wale wenzangu wa huku jikoni hebu leo kila mmoja ataje chakula apendacho na anaandaje tugawane maujuzi ya mahanjumati.....
Naanza mimi napenda afghani rice recipe yake hii apa ndivo naandaa hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.