Yaani hizi chapati nimezivulia kofia

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,124
2,000
Nimejipiga mwenyewe nikanunua azam unga,maziwa,samli,mayai. Nikachemsha samli iyeyuke nikachanganya unga,yai moja,chumvi kidogo,na sukari kiduchu kwa ladha maji yakawa maziwa nikakanda weee mpaka unga ukawa unalia pichuuuuuu pichuuuuu.

Ukawa tayari nikatengeneza madonge haaaa zilivonifanya sina hamu nazo tamuje sasa tamu balaa ila sasa ni kau kau hapa nshazikatakata namuwekea dogo kwa mfuko aende nazo kaukau na mie nimeziweka juu ya friji ziwe nangatai zangu.

Poor me sijui kupika chapati kila nkipika ni kaukau tu. Asa leo nikaweka yai sababu yai zinalainisha nazo zikantenga picha ya hizo kaukau ntawawekea kesho.
 
double R

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
2,270
2,000
Chapati ili iwe kaukau inategemea haujaulanisha vya kutosha au umepika kwenye moto mdogo. Jipime hapo tu. Mayai, samli ni vikolezeo tu kama karoti kwenye wali ambao unaweza kuiva vizuri kuwa bokoboko au kuwa mbichi.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,292
2,000
Nimejipiga mwenyewe nikanunua azam unga,maziwa,samli,mayai.Nikachemsha samli iyeyuke nikachanganya unga,yai moja,chumvi kidogo,na sukari kiduchu kwa ladha maji yakawa maziwa nikakanda weee mpaka unga ukawa unalia pichuuuuuu pichuuuuu ukawa tayari niaketengeneza madonge haaaa zilizonifanya sina hamu nazo tamuje sasa tamu balaa ila sasa ni kau kau hapa nshazikatakata namuwekea dogo kwa mfuko aende nazo kaukau na mie nimeziweka juu ya friji ziwe nangatai zangu.
Poor me sijui kupika chapati kila nkipika ni kaukau tu.Asa leo nikaweka yai sababu yai zinalainisha nazo zikantenga picha ya hizo kaukau ntawawekea kesho.

Ukande unga mpaka uwache kulia "pichuuuuuu pichuuuuu", endelea kuukanda mpaka uwe haushikani na unapokandia. Ukiubeba kabla kukata madonge unanyanyuka wote mzima mzima.

Jaribu, ulete majibu.
 
farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,753
2,000
Pole amu subir nkuekee recipe ya chapati ujaribu
 
Last edited by a moderator:

Angel Nylon

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
4,508
2,000
Chapati zina ufundi kutoka kukanda, kuzungusha madonge hadi kwenye kuchoma. Ukikosea pamoja tu baaasssi ndo mara unakula izo Kara. Subiri farkhina atuwekee recipe mana mi mvivu wa kuandika. Pole for kau kau
 
Last edited by a moderator:

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,124
2,000
Huko kulainika ntamwambia tu kwa mdomo chapati lainika? Lazima recipe ili vipimo viende sawa na step kwa ajili ya super soft chapati

Nasubiria sikati tamaa unga nipime nusu kile kikombe kikubwa cha plastiki afu utanipa vipimo vyake.
Lol nlijishauaje sasa shem wako yupo kitandani anafanya kazi zake mie namuambia "hny am cooking for you the best chapati in the world" lol majanga plus plus nataka wikiendi nizirudie tena mpaka zieleweke
 
amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,124
2,000
Chapati ili iwe kaukau inategemea haujaulanisha vya kutosha au umepika kwenye moto mdogo. Jipime hapo tu. Mayai, samli ni vikolezeo tu kama karoti kwenye wali ambao unaweza kuiva vizuri kuwa bokoboko au kuwa mbichi.

Moto upo sahihi bana hata unga ulikakinda haswa maana ulikuwa soft kwa nje na haushikani jamani
 
rasai

Senior Member
Jun 24, 2013
147
225
Pole kwa hilo, ila itakua umezipunja mafuta sana hizo chapati. Jaribu kukandia maji ya baridi
 
  • Thanks
Reactions: amu

Mrs Kharusy

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
1,246
2,000
Nimejipiga mwenyewe nikanunua azam unga,maziwa,samli,mayai. Nikachemsha samli iyeyuke nikachanganya unga,yai moja,chumvi kidogo,na sukari kiduchu kwa ladha maji yakawa maziwa nikakanda weee mpaka unga ukawa unalia pichuuuuuu pichuuuuu.

Ukawa tayari nikatengeneza madonge haaaa zilivonifanya sina hamu nazo tamuje sasa tamu balaa ila sasa ni kau kau hapa nshazikatakata namuwekea dogo kwa mfuko aende nazo kaukau na mie nimeziweka juu ya friji ziwe nangatai zangu.

Poor me sijui kupika chapati kila nkipika ni kaukau tu. Asa leo nikaweka yai sababu yai zinalainisha nazo zikantenga picha ya hizo kaukau ntawawekea kesho.

Hahhahha lol umenifurahisha amu
Hio chapat kwanza km utajipatia kamashine kako kakukandia kasecond hand itakua vizuri!!
Mm hapo siku zote ni bahati nasibu!! Ila pia unga angalia wanasemaaga unga wa ppf sijui ndo mzuri kwa chapat
 
Last edited by a moderator:

Mrs Kharusy

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
1,246
2,000
Na pia kwenye ukunjaji pale panataka utaalam kidogo.. farkhina hem muekee picha ya kufunga ile design ya km icecream wakati wa kuchoma zinafanya km bofu
 
Last edited by a moderator:

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,124
2,000
Hahhahha lol umenifurahisha amu
Hio chapat kwanza km utajipatia kamashine kako kakukandia kasecond hand itakua vizuri!!
Mm hapo siku zote ni bahati nasibu!! Ila pia unga angalia wanasemaaga unga wa ppf sijui ndo mzuri kwa chapat

Hivi ya kukandia chapati si ndo ile ya keki ya kukandia???
sijawahi kuulizia sh ngapi??
he he jamani sijakata tamaa jumapili nataka kupika tena chapati so farkhina nakutegemea tena ntapika live kila stage mutaipata
 
Last edited by a moderator:

amu

JF-Expert Member
Aug 8, 2012
15,124
2,000
Pole kwa hilo, ila itakua umezipunja mafuta sana hizo chapati. Jaribu kukandia maji ya baridi

Kuna mtu anakqndaya bila mafuta na zatoka lainiii.
Ila mi nliweka mafuta
 
farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,753
2,000
Hivi ya kukandia chapati si ndo ile ya keki ya kukandia???
sijawahi kuulizia sh ngapi??
he he jamani sijakata tamaa jumapili nataka kupika tena chapati so farkhina nakutegemea tena ntapika live kila stage mutaipata

Hhahahahaha uandae na video pia lol
 
Last edited by a moderator:

Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
14,841
2,000
Chapati za Karucee bwana uzile zikitoka juu ya jiko.

Azawais zikipoa jino hunaaaaa.

So cheer up, tupo wengi.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom