Mmhu, huo kama Urojo wetu wa zenji?!
hahahaaaa mumie kwani umeusahau?
Ndo mana nkishakula nasinzia
Ucjali coz I wil b by yr side guidin n protectin u...! Wit al mighty energy
Thank u hubby.
Lov you more....!!!!
duh... ma lavi davi jikoni
honey a.n washaanza kutumaind tuhame huku
Honey A.N washaanza kutumaind tuhame huku
Mahaba Kila pahali hujui wewe?duh... ma lavi davi jikoni
mahaba kila pahali hujui wewe?
ndo mwanionesha!
makhaba ya dhati popote..! Hashcool lol...!!?
duu hiyo recipe lazima uombe kuongeza supu tena..