Wale tunaopenda kupika

Weka vitu hapa ili nasi tujifunze. Ila jamani kuna watu wanatengeneza chai nzuri yaani ni nzuri kupita kiasi halafu na vile viungo unaweza kunywa hata chupa nzima.
Mie Chai sipiki ya majani,sitii majani kabisaaa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hiyo itakuwa chai sasa au ni ile ya kuwadnganya wadada kuwa una gari wakti ukweli
Tembea ujionee, kwanza majani kiafya sio mazuri,Jaribu hivi chukua mdalasini iliki,pilipili manga,karafuu theni twanga vyote kwa pamoja Kwenye kinu kidogo.
Bandika maji yako ya Chai jikoni ya kianza kuchemka weka huo mchanganyiko wa viungo vichemke vizuri utaona vyatoa rangi haina haja ya majani, kwanza chai yawa na harufu nzuri na yanukia
 
Back
Top Bottom