Maisha ya ubachela hadi raha!

Muuza simu used

JF-Expert Member
Aug 23, 2017
4,393
7,039
Kumbe kutumia tsh 15,000 kwa ajili ya chakula ni kujidekeza tu!Jioni nikirudi home nahakikisha napika wali wa kutosha nakula jioni.

Asubuhi nakunywa na chai nachukua hot pot naweka cha mchana kwenye begi usiku namalizia na kaafya changu kameanza kuja.

Nikipata laki kama milioni, mbinu hii ningeitumia tangu mwanzo ningekuwa mbali sana aisee! Kuowa bado sana! Buku tena natumia wiki nzima kwenye maswala ya misosi.
 
kwani wote waliooa wanatumia 15000 za chakula kwa siku? Maisha ni jinsi unavyoyapanga. Mtoto wa kiume kula ubwabwa asubuhi, mchana jioni!!!! kila siku... Khaaa kisa? kubeba makontena ya ubwawa kwenye mabegi inahuuuuu
 
Kumbe kutumia tsh 15,000 kwa ajili ya chakula ni kujidekeza tu!Jioni nikirudi home nahakikisha napika wali wa kutosha nakula jioni.

Asubuhi nakunywa na chai nachukua hot pot naweka cha mchana kwenye begi usiku namalizia na kaafya changu kameanza kuja.

Nikipata laki kama milioni, mbinu hii ningeitumia tangu mwanzo ningekuwa mbali sana aisee! Kuowa bado sana! Buku tena natumia wiki nzima kwenye maswala ya misosi.
Hamna lolote mimi yameisha nikera mno..! Shida kila nikitaka kuoa yuko wapi wa kuoa..
 
Back
Top Bottom