Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 297,768
- 1,163,748
JINSI YA KUANDAA NA KUTENGENEZA BISKUTI ZA JAM .
MAHITAJI:-
Unga 2½ glasi
Sukari ¾ glasi
Samli\blue band(ndogo)
Mayai 2
Baking powder 2 kijiko vya chai
Vanilla 1½ kijiko cha chai Maganda ya chungwa 1(kwaruzia kwenye carrot grater ili kupata unga unga wa maganda)
Jam yoyote uipendayo
NAMNA YA KUTAYARISHA NA KUPIKA
1.Tia kwenye machine ya kusagia (blender) mayai, sukari, vanilla, unga wa maganda ya chungwa, saga vizuri,samli.
2.Tia unga kwenye bakuli pamoja na baking powder, mimina vitu ulivyosaga kwenye bakuli, changanya.
3.Punguza unga uliochanganya kidogo weka pembeni.
4.Unga uliobakia tia kwenya tray ya kuchomeya, utandaze vizuri, tia jam juu yake.
5.Chukua la kukwaruzia carrot (grater) ukwaruze unga uliuopunguza juu ya jam.
6.Choma kwa muda dakika 20 moto wa 180 C.
7.Acha ipowe kidogo, zikate vipande vya mraba (square)