Uzi maalumu wa matunda na mbogamboga (Vegetables) tu

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,035
15,540
Habari mabibi na mabwana!

Kuanzia dunia inaumbwa hadi leo hii tulipo tumekuwa tukishauriwa au kujishauri kuhusu ulaji wa matunda na mboga za majani.
Nadhani hata mgonjwa hospitali huwa daktari anashauri apewe matunda na mbogamboga na si ugali au wali!

Matunda hayana muda muafaka wa kuyala.nadhani ni nadra kidogo kwa huku kwetu africa kula matunda tu kama chakula cha mchana au usiku.

Tunapenda kushindilia wali au ugali kwa nyama choma ambazo kiafya tunaambiwa sio nzuri.
Sio kwamba matunda hakuna nop

Yapo ya kila aina yenye virutubisho adhim kabisa yenye kujenga na kuimarisha afya zetu na kutulinda na magonjwa nyemelezi.

Manufaa ya matunda na mbogamboga yapo mengi siwezi kuyaandika yote.nadhani wengine watajazia zaidi katika huu uzi.wa MATUNDA NA MBOGAMBOGA TU

images%20(1).jpeg
images.jpeg

images%20(2).jpeg
 
hahahaah umetokea mkoa gan wewe !ukute chaTTLE hukoo !mbona matam sana sana!!! duh
hahaha hebu nitake radhi kwanza...siwezi kutokea huko asee hata kwa mfano

Nikweli vitamu ila promo inayopewa unaweza dhani labda kinashinda utamu wa embe, ndizi au nanasi
 
Back
Top Bottom