Nina health issue inayonihitaji kula carrot, hoho, vitunguu na spinach on daily basis kama dawa, aidha vibichi, kwenye juisi au vipikiwe ila visiive sana. Lakini napata challenge kutunza hoho na...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni ushuhuda wangu kuwa Mimi ni mlaji mzoefu wa mihogo ninapoamka asubuhi
Leo asubuhi nimekunywa kahawa ya maziwa, mkate uliopakwa pinatibata na bluu bendi, tumbo...
Hope mko poa
mshamba_hachekwi aliomba nipike kashata so leo morng nikaenda mjini nikatafute mahitaj yangu nikaona ufuta nikakumbuka
Wakati nanunua vitu bhna si nikakutana na wamasai...
ephen_ aliomba nimuonyeshe jinsi ya bagia za dengu zinavyo pikwaa
Nilikuwa na shughuli za hapa napale uku naangalia mpira wa yanga tukashinda uku nanyoosha
Nikawa nawaza chakula jion...
Heshima zenu wote.
Niliwahi kusikia ya kwamba ndugu zangu Wakristo - Wasabato (samahani kwa kutaja dini, lakini kwa nia njema kabisa) huwa wanafundishwa mbinu za mapishi ikiwamo kuandaa vyakula...
Leo bhna morng naamka umeme wakakata siku nzima TANESCO mnatukosea af mnauza umeme
Basi nikawa sina chakufanya ukifikilia uku kwetu ni porini kwenda mjini ni KM
Nilianza kuchemsha nyama...
Haya kama ulikuwa unataka kufahamu pishi fulani namna ya kuliandaa ili kulifanya futai na lisilo futari niulize ikiwa nalifahamu nitakujuza hapahapa namna lipikwavyo. Karibu.
unga lishe ni unga kwaajili ya chakula ulio na mchanganyiko wa viini lishe vyote muhimu. mara nyingi unga huu hutumiwa kuandalia uji .wakati mwingine utengenezaji wa unga huu huzingatia walengwa...
weekend napenda kutengeza beats kwasababu kuu moja katika ya wiki naweza rudi nimechoka na njaa nikakosa cha kula beats zikanisev nikala nikalala
weekend hii niliamua kutengeneza kokoto...
Wakuu kwema?
Leo nataka nikufundishe kuiandaa sos ya nyama kwa kabla hujaichoma aidha mishkaki au aina yoyote ya kuchoma au kukaanga (fried). Code tunazotumia ni product maujanja ya ya kiczech...
▶️DONDOO ZA JIKONI:-
1🧂Ukiandaa nyama kwa viungo kama tangawizi, thomu na masala ongeza mafuta kidogo na mtindi vijiko viwili utafurahi.
2🧂Ukikosa vanilla unaweza saga ganda la limao bichi...
Kuna wajasiriamali Wengi Sana siku online wanatangaza kupika vyakula mbali mbali na kutangaza unaweza agiza chakula online ...kinakufikia...
Nna watu wengi waliowahi agiza vyakula kutoka...
Mara ya pili sasa nashauri tena hili jukwaa la mapishi libadilishwe title liitwe jukwaa la chakula na vinywaji!, Wahariri wa humu sijui hamulioni hili!, maana hapo linaitwa jukwaa la mapishi tu so...
Leo niliji mwaga mapema sana saa nne nipo home
Njaa ikawa inauma dah kuagiza chakula naona uvivu hapa nikaamua kwenda kwenye friji kutafuta chochote kitu
Nikanywa mtindi nikaona mayai ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.