Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Mimi huwa napenda kupika, kujifunza na kujaribu Mapishi mbalimbali Nyumbani na Familia yangu hufurahia sana ninachokifanya mbali na Shughuli zangu zinazoniingizia Kipato. kuna siku rafiki yangu...
20 Reactions
69 Replies
15K Views
Natumaini mkopoa Wapenz wa ndizi ,Ndizi mzuzu zikiiva msitupe Leo nimewaletea recipe hii ya kupika ndizi mzuzu zilizoiva za Nazi MAHITAJI Naz Ndiz zilizoiva Iriki iliyosagwa ama nzima...
23 Reactions
136 Replies
7K Views
Habari zenu wapishi. Naomba kufahamu jinsi ya kuandaa viungo vya chai ya rangi. Yaani niweke viungo pekee bila majani ya chai iwe tamu na kunukia vizuri.
13 Reactions
110 Replies
38K Views
Wadau hamjamboni nyote? Tafakuri ya kina kwa wenye hekima Fuatilia kwa wataalamu wa tiba utathibitisha Poleni mlioumizwa
10 Reactions
66 Replies
3K Views
Habarini wandugu. Naombeni msaada jinsi ya kupika maandazi ya oven: Asanteni;
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu Hivi haya maharage ni ya matajiri?
11 Reactions
41 Replies
2K Views
Habari za wakati huu wana jamiiforums,ndugu yenu nisiwachoshe niende kwenye mada. Swali langu Nauliza,Je Oven inaweza kutumika kupasha chakula? N.B Ninatumia oven ya Ailyons sasa natumia kubake...
3 Reactions
19 Replies
7K Views
Wanaume sio sana, ila kwa utafiti wangu wanawake, Wanafunzi na watoto wadogo wa kike na wa kiume wanapenda chakula hiki kuliko kitu chochote. Tena cha ajabu hata wakipikiwa nyumbani wanasema za...
3 Reactions
5 Replies
675 Views
Eeeh bana eeh, nimetimba tabora leo. kuna sehemu nikapelekwa kula kuku wanapaita PPP kuku watamu hataree. sasa ambae kashawahi kula wale kuku atupie maujuzi ya kuwaandaa. Sijui wanaeka nini na...
3 Reactions
54 Replies
13K Views
Ni mafuta gani ya kupikia mazuri zaidi kwa afya? CHANZO CHA PICHA,GETTY IMAGES Mafuta ya kupikia ni kiungo cha msingi sana jikoni. Lakini kuna habari nyingi zinazokinzana kuhusu kila aina ya...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
HAtua Kata cabbage kama inavyokwatwa vipande ndogondogo ya mboga changanya carrot na hoho na chunvi kidogo kisha pasua yai mbili koroga mchanvanyo huo na mayai Baada ya hapo weka mafuta kwa...
1 Reactions
9 Replies
946 Views
Leo nimepika chakula kitamu mno hasa mboga maana ilikua na viungo vingi nyenye kuleta ladha MAHITAJI NILIYOTUMIA Mchele nusu kilo, mafuta ya kula, viazi mviringo viwili, nusu kuku, njegere, tui...
28 Reactions
85 Replies
4K Views
Wapika rosti ya kiswahili, mchuzi au makange wamekariri sana kuweka nyanya nyingi ili kuifanya rosti au mchuzi kuwa mzito na wenye ladha nzuri. Kwa wajuzi wa mapishi wanaweza kupika mchuzi mzito...
15 Reactions
99 Replies
3K Views
Wana jukwa salaam kwenu. Imekuwa kawaida kwangu Mimi kula ugali na wali kama Chakula kikuu siku hadi siku. Sasa nimepata wazo la kuviweka kando kwa siku 14 bila kuvigusa Hivyo naomba mniambie...
4 Reactions
44 Replies
13K Views
Habari wakuu. Baada ya kugundua kuwa sina uwezo wa kujenga,kununua gari au kwenda mavacation nimeona nifurahie maisha kwa japo kula vizuri kama matajiri.Starehe na anasa yangu iwe kula vizuri...
12 Reactions
141 Replies
4K Views
Habari wapendwa, Natumaini mnaendelea vyema. Natafuta vyakula vifuatavyo. Kwa anayefahamu, nishtue PA kuzinunua. Carob powder (mbadala wa cocoa, Hainan cocaine) Spelt wheat/stone ground wheat...
0 Reactions
2 Replies
384 Views
JF Wataalamu wa Mapishi mko pouwa? Mimi ni mdau wa maziwa, mara nyingi nimekuwa nikimwaga maziwa kwakuwa nashindwa kuyanywa kwa wakati Nimeona ninusuru hali hiyo kwa kuyatengeneza kuwa Mtindi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, Moja ya sifa ya kabeji ni kwamba unaipika unaila mpaka unatamani iishe sasa ila ndo haiishi....twende kazi mboga gani nyingine ina sifa hii ?
2 Reactions
7 Replies
988 Views
Kwa mtu anaefaham kitimoto Safi mahali inapopatikana kigamboni Msaada iwe nzuri sio ya kupunja Location
13 Reactions
102 Replies
8K Views
Vitumbua ni aina nyingine ya Chakula kinachopendwa zaidi katika maeneo mbalimbali nchini. Vitumbua vina aina mbalimbali ya Mapishi, kuna Vitumbua vya Nazi, Mayai, Nyama na aina nyinginezo...
12 Reactions
64 Replies
5K Views
Back
Top Bottom