Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Neno "kuweza" limekuwa linatumiwa vibaya sana kwenye kiswahili cha siku hizi. Luna mifano mingiya matumizi hayo haramu kwa mfano kwenye sentensi hii ina makosa: "Mchezaji wa zamani wa timu A...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Kiswahili sahihi ni mboga ya matembeLe au matembere?
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Aichi—Anajua iachikyia--Kujenga Ichele—Kichaga Ichondi- --- Kondoo Iikyelyia—Kuogelea Ikawilyia—Kupalilia Ilyingoi---Jogoo inyi—Mimi Ipalipali- --Bahari Ipore---Yai Irikoso—Taji...
17 Reactions
213 Replies
61K Views
Wadau kuna maneno yanatatiza , Ukifuatilia vyombo vya habari siku hizi kwenye mahojiano, au popote pale kwenye maisha ya kila siku, pindi mtu anapopewa fursa ajitambulishe utasikia anaanza kusema...
0 Reactions
4 Replies
796 Views
Habari za kushehereke Uhuru wetu Watanzania, na wale wasiokuwa watanzania habarini za kazi. Kuna neno limezuka hapa katikati na limekuwa maarufu sanaa hasa ktk nyanja za soka lkn mm binafsi...
1 Reactions
5 Replies
23K Views
Inawezekana idadi ya Waganda wanaojua Kingereza ni kubwa kuliko idadi ya Watanzania wanaojua Kimalkia, lakini si kila Mganda anajua Kizungu. Nililijua hili kwa mara ya kwanza mwaka Jana baada ya...
0 Reactions
4 Replies
583 Views
Wakuu nimekuwa nikisoma hapa jamvini na kwingineko watu wanapoandika wanabadilisha matumizi ya herufi “L” and “R” kwenye maneno. Kwa mfano, unakuta mtu anaandika “daradara” badala ya “daladala”...
4 Reactions
225 Replies
41K Views
Nimekuwa nikifuatilia Clip nyingi za wanajeshi maporini huko DR Congo asilimia kubwa wanatumia Kiswahili Waasi wanatumia kiswahili Wa DR Congo wanatumia kiswahili Na wengine wengi majirani...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Neno uhuni linamaanisha tabia ya kufanya mambo yasiyofaa au kukubalika katika jamii,hii ni pamoja na matendo ya udharirishaji, uvunjaji wa sheria au kuonyesha ukosefu wa maadili,kwa ufupi ni tabia...
1 Reactions
2 Replies
681 Views
Hello JF, I'm looking for someone in dar es Salam who is a Native english Speaker, The purpose of looking for that person is learning Anyone interested please check me
10 Reactions
66 Replies
2K Views
Wakuu salaam, tunaendelea na mada yetu ya aina za maneno katika andiko hili tutatazama vitenzi kwa upana wake. Tutaangalia dhana ya vitenzi kwa ujumla pamoja na aina zake. Twende pamoja tujadili...
1 Reactions
6 Replies
78K Views
Bongo/Wabongo hivi neno hili limetokea wapi na maana yake ni nini? Neno hili lilipoanza nilikuwa nikiishi kigoma, kipindi hicho kulikuwa na watanzania wengi walikuwa wakienda Karemii -Zaire (DRC...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Hivi mtoto wa fomfour miaka 17 hadi 20 inakuwaje hawezi kutofautisha Kati ya "r" na "l" "Karibu" mtoto anaandika " kalibu" 👉Kwenye matamshi ya lugha binafsi siwezi tupa lawama hii ni kutokana na...
8 Reactions
36 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Zipo lugha nyingi za asili kwetu Watanzania lakini kiswahili siyo miongoni mwao Tafakuri ya kina kwa wenye hekima pekee Dominika njema
0 Reactions
14 Replies
859 Views
RIWAYA: KOSA MTUNZI: HASSAN O MAMBOSASA SIMU:+255713776843 +255762219759 WHATSAPP:+255713776843 SHUKRANI ZOTE ANASTAHIKI MWENYEZIMUNGU MUUMBA WA DUNIA NA VILIVYOMO KWA KUNIPATIA AFYA NJEMA...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Nahitaji constructive critiques katika kipamfeleti changu hiki cha watoto ...
1 Reactions
1 Replies
342 Views
Haya sasa wale wakali wa kiswahili waje wanipe tofauti kati ya neno "ndio" na "ndiyo"
2 Reactions
11 Replies
24K Views
Nini hasa maana ya neno hilo,wadau wa kiswahili tujulisheni
0 Reactions
0 Replies
325 Views
Habari ndugu zangu. Nina hamu sana ya kufahamu lugha ya majirani zangu wasambaa. Ni kipaumbele kwangu kwa kweli likija suala la kujua lugha mbalimbali tofauti. Kuna mtu anaweza kunipa mbinu...
1 Reactions
43 Replies
38K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…