Shairi la Mauajji ya Aquilina

Idd Ninga

JF-Expert Member
Nov 18, 2012
5,136
4,298



MAUAJI YA AQUILINA

1)Swali tunajiuliza,ni nani kama si yeye ?
Kwanza alitueleza tusimjaribu yeye
Leo wametekeleza,alioyasema yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

2)Risasi alofyatua,alikusudia yeye
Cheo watampatia,ndicho apendacho yeye
Huko anafurahia kuona yeye ndo yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

3)Risasi za nchi yake,ndizo zimemua yeye
Hilo ndo taifa lake,lilomwangamiza yeye
Ya wapi makosa yake,wakamuhukumu yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

4)Walotenda wanajua,amri aliwapa yeye
Wafanya aloamua,wasije muudhi yeye
Aquilina kapotea,kisa ajieshinda yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

5)Waloandamana wengi,vipi wamuue yeye
Twabomoa hatujengi,vipi kumlinda yeye
Mipango hatuipangi,vipi hatutishe yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

6)Watu hawana silaha,vipi kawalenga yeye
Wengi wana majereha,wanalia kisa yeye
Kum Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

7)Yote nguvu ya nini,ama alitaka yeye
Watu waanguka chini,pekee abaki yeye
Nchi yangu masikini,yapotea kisa yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

8)Jahazi sasa lazama,alotoboa ni yeye
Azisubiri lawama,zitamshukia yeye
Dongo likianza hema,chanzo atakua yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

SHAIRI -MAUAJI YA AQUILINA
MTUNZI-Idd Ninga wa Tengeru Arusha
iddyallyninga@gmail.com
+255624010160
 
@Mods nisaidieni kuediri kichwa cha habari,ni MAUAJI YA AQUILINA
 
  • Thanks
Reactions: BAK



MAUAJI YA AQUILINA

1)Swali tunajiuliza,ni nani kama si yeye ?
Kwanza alitueleza tusimjaribu yeye
Leo wametekeleza,alioyasema yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

2)Risasi alofyatua,alikusudia yeye
Cheo watampatia,ndicho apendacho yeye
Huko anafurahia kuona yeye ndo yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

3)Risasi za nchi yake,ndizo zimemua yeye
Hilo ndo taifa lake,lilomwangamiza yeye
Ya wapi makosa yake,wakamuhukumu yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

4)Walotenda wanajua,amri aliwapa yeye
Wafanya aloamua,wasije muudhi yeye
Aquilina kapotea,kisa ajieshinda yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

5)Waloandamana wengi,vipi wamuue yeye
Twabomoa hatujengi,vipi kumlinda yeye
Mipango hatuipangi,vipi hatutishe yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

6)Watu hawana silaha,vipi kawalenga yeye
Wengi wana majereha,wanalia kisa yeye
Kum Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

7)Yote nguvu ya nini,ama alitaka yeye
Watu waanguka chini,pekee abaki yeye
Nchi yangu masikini,yapotea kisa yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

8)Jahazi sasa lazama,alotoboa ni yeye
Azisubiri lawama,zitamshukia yeye
Dongo likianza hema,chanzo atakua yeye
Alomua Aquilina,kifo kitamuumbua.

SHAIRI -MAUAJI YA AQUILINA
MTUNZI-Idd Ninga wa Tengeru Arusha
iddyallyninga@gmail.com
+255624010160
Ni kweli kabisa. Hapa Mbowe na genge lenu la kihuni hamuwezi kukwepa lawama. Ni kuwakamata wote nyinyi mpelekwe kwenye vyombo vya sheria.
 
Yani wa kulaumiwa hasa ni Maulid mtulia, mwigulu nchemba, kabudi Paramagamba na yule ambae hakemei wakati akijua yeye amepewa dhamana kubwa katika nchi hii!
 
Yeye anabichwa kubwa kama nundu ya ngamia, mnafiki nambari one kanisani hutomkosa, na majivu hujipaka ishara ya kwaresma huku rohoni limejaa chuki, unyanyasaji na dhuluma za roho zisizo na hatia
 
Mbona shairi lako liko kienyeji sana...hujazingatia urari Wa vina...Anyway big up..shairi limebeba ujumbe mzuri
katika uandishi wa mashairi kuna aina nyingi za mashairi japokuwa sasa tunaweza kuongeza na mashairi huru ambayo hayazingatii baadhi ya sheria za ushairi,hivyo katika shairi langu nako kumetazama aina hizo mbili za mashairi
na pia katika kanuni za ushairi hakumfungi mtu kwa kutokuacha baadhi ya kanuni kwani kuna wakati mwingine mshari anakuwa huru kutumia aina ya ushairi anaotaka yeye ili kufikisha ujumbe katika jamii ambayo anaona yeye njia fulani itafaa zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom