Bo nsavoo Klieme!! Wachaga kwa Kuharibu Majina!!!

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Kichaga kama Kifaransa vile... Kwa uvivu wa kuita majina ya Watu hadi liishe huwa ni ngumu sana... huyo Clement huitwa Cle me..

Hii Bonsavoo inaendana na Bonjour..

ai see Clement Hebu Msalimie Mama yako...
 
aika mekuu,jamani hapo ndio nyumbani,km kuna demu wa kichaga humu ani pm,natangaza ndoa!ila masharti asitokee kishmundu!
 
.
Bob Malya
............. Bob Marley

Peter Tesha ............. Peter Tosh
.
 
Nimekaa Marangu Mabibi wanaharibu Majina kama Kawa Manka Huotwa Mankia n.k
 
.
Bob Malya
............. Bob Marley

Peter Tesha ............. Peter Tosh
.

mkuu kuna koo zinapatikana sehemu inaitwa Mwika kirueni (anakotokea boss wa TRA) wanaitwa Malle lakini kutokana na wengi tuliosoma nao miaka hiyo kili boys ,Vunjo na Marangu sec wamebahatika kuwa na watoto na sasa watoto wanaitwa Marley na sio tena Malle.
 
Nimekaa Marangu Mabibi wanaharibu Majina kama Kawa Manka Huotwa Mankia n.k

mkuu wakina manka hawapatikani marangu ila wanapatikana Machame na Kibosho.kwa lugha nyingine wanaitwa wapale.......
 
mkuu kuna koo zinapatikana sehemu inaitwa Mwika kirueni (anakotokea boss wa TRA) wanaitwa Malle lakini kutokana na wengi tuliosoma nao miaka hiyo kili boys ,Vunjo na Marangu sec wamebahatika kuwa na watoto na sasa watoto wanaitwa Marley na sio tena Malle.

mob umenikumbusha zamani ...

mob umenikumbusha zamani ...

mkuu kili boys Marangu sec na Vunjo ndio shule enzi zile mwaka 1990s shule zilikuwa juu sana ila zilikuja anza haribu walipoanza kuzichoma.nawakumbuka sana head master wa enzi hizo wa vunjo mzee mashingia (aka don king)
 
mkuu wakina manka hawapatikani marangu ila wanapatikana Machame na Kibosho.kwa lugha nyingine wanaitwa wapale.......

Aliolewa na rafiki wa Bro na Kuna siku kulikuwa na Msiba wa Sister Binamu Marangu huko so alipotambulishwa Jina lake tu basi ndio walimuita Mankia mwanzo mwisho...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom