Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
KUMRADHI KWENYE HEADING NAMAANISHA VIDEO CONVERTER. Naomba maujuzi kidogo, nime download video kwenye mp4 haicheki katika simu ya android hivyo nahitaji kuibadilisha ili iweze kuchezwa. Naweza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau kichwa kinaniuma kwa kufikiria, Hivi hako ka mstari kwenye heading kaka yetu Dayamond alikua anamaanisha nini? Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Wajuzi wa kiswahili na uchumi, neno MRAHABA lina maana gani? Nieleweshe kwa mifano.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
ASIEVISHWA KILEMBA. 1.Hivi kwanza mnajua,napiga kimya Kwanini Kipo msichotambua,niseme wazi ya nini Hasara kumuumbua,asijevaa kipini Asievishwa kilemba,hawezi kufunga domo. 2.Domo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
MOYO WA CHUMA. 1.Jina jipya tumepewa,Yanga tunaitwa chura Hatuna tena ngekewa,Simba azidi parura Ila kweli twaonewa,kisa twakosa ngawira Kuishabikia Yanga,uwe na moyo wa nondo. 2.Ama kisa jezi...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,baba wa Taifa la Tanzania kama anavyojulikana kwa wengi. Mbali na kuwa mwanasiasa,mwalimu na mpigania uhuru wa Tanzania na Afrika,pia alikuwa ni msanii,mtunzi...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Kwa mwenye kujua nini hasa maana ya neno "uchochezi" Kwa upande wangu ni kufanya ktu kiwe katika hamasa ya juu kabisa " yaani mambo ni moto". Sidhani kama kila uchochezi huwa ni kosa kama...
1 Reactions
11 Replies
5K Views
Poor English from a Tanzanian reputable media...this is the most pathetic English ever....Najua hamjanielewa nlichosema hapo juu....mtumie kiswahili tafadhali
12 Reactions
119 Replies
16K Views
Wataalam samahani naomba kujuzwa ikiwa kuna mtu anafahamu, kama kuna chuo Dsm kinafundisha watafsiri wa lugha ya kiingereza kwa kiswahili au kiswahili kwa kiingereza ( Interpreters)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jamvi naombeni kujua kiswshili sanifu cha ICU
1 Reactions
9 Replies
13K Views
"Ukitaka Kula Nguruwe Chagua aliyenona" Mwenye kujua maana ya methali hii naomba anijuze tafadhali
0 Reactions
7 Replies
8K Views
Habari wanajamvi; Salaam JF; Nimekuwa nakutana sana na huu msamiati "Papuchi" katika nyuzi mbali mbali hapa JF. Je hili neno ni kiswahili fasaha ? Je limetokea wapi (Origin yake ) ? Je...
3 Reactions
39 Replies
21K Views
Napenda sana hii Archimedes Principle] jinsi ilivyo kwa Kiswahili: "When a body is partially or totally immersed in a fluid, it experiences an up thrust on it which is equal to the weight of...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Mtu anaposema "to break even" kiswahili chake ni kipi?au ni sawa na kusemaje kwa kiswahili chetu.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
THAMANI YA POPI. 1)Tumeirudi miaka,ile tisini na ine Anathaminiwa paka,na wale watu wengine Tumeiruka mipaka,tumenda pande nyingine Ya binadamu thumuni,thamani ya popi kubwa 2)Utu wazidi...
1 Reactions
0 Replies
864 Views
Siku za karibuni kumekuwepo mlipuko (outbreak) ya matumizi mabaya ya maneno ya lugha ya Kiswahili katika majukwaa ya JF. Inaonekana ima watu wanaigana katika kuandika vibaya au hawajui wanaiga...
5 Reactions
14 Replies
3K Views
naombeni maana ya hili neno "kimalando" kwa kichaga na usisahau kusema ni kichaga cha wapi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rejea kichwa cha habari hapo juu simu yangu aikamati mnara ,nasijui kifaa gani kimeleta shida , samahani kama kuna yeyote anamfahamu fundi mzuri Wa kulekebisha mtandao ukamate mnara plz ni pm
1 Reactions
6 Replies
1K Views
So close..' out of reach So physical' untouchable So few, uncountable So visual! yet to be seen Black and void in the womb In the primodial waters Black, void the source So hopeful for the...
1 Reactions
2 Replies
879 Views
Kichaga kama Kifaransa vile... Kwa uvivu wa kuita majina ya Watu hadi liishe huwa ni ngumu sana... huyo Clement huitwa Cle me.. Hii Bonsavoo inaendana na Bonjour.. ai see Clement Hebu...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…