stone boy Senior Member Dec 25, 2015 107 19 Jul 10, 2018 #1 Wana jamvi naombeni kujua kiswshili sanifu cha ICU
Gordita JF-Expert Member Nov 4, 2013 11,562 55,537 Jul 10, 2018 #2 Wacha nisubiri tafsiri ya hilo neno
Mother Confessor JF-Expert Member Jan 7, 2016 18,596 45,225 Jul 10, 2018 #4 ICU ipi unayo maanisha mkuu,.kumbuka hicho ni kifupi lakini hujasema ni kifupi cha neno lipi hasa,. Nawasilisha.
ICU ipi unayo maanisha mkuu,.kumbuka hicho ni kifupi lakini hujasema ni kifupi cha neno lipi hasa,. Nawasilisha.
Crumpy Crumper JF-Expert Member Dec 20, 2016 2,351 3,295 Jul 10, 2018 #5 I.C.U > Intensive Care Unit Kwa kiswahili fasaha ni SADARUKI Sadaruki - Wikipedia, kamusi elezo huru
Nelson nely JF-Expert Member Jan 25, 2014 4,256 2,862 Jul 10, 2018 #6 Chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum.
stone boy Senior Member Dec 25, 2015 107 19 Jul 11, 2018 Thread starter #7 Nelson nely said: Chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum. Click to expand... hiyo ni maaana ya neno lenyewe je neno ilo ni lipi
Nelson nely said: Chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum. Click to expand... hiyo ni maaana ya neno lenyewe je neno ilo ni lipi
Hassan Mambosasa JF-Expert Member Aug 2, 2014 3,350 4,485 Jul 11, 2018 #9 stone boy said: Wana jamvi naombeni kujua kiswshili sanifu cha ICU Click to expand... Sadaruki
M Mchanya JF-Expert Member Jul 29, 2015 974 1,525 Jul 24, 2018 #10 ICU - Intensive Care Unit = Chumba Cha Wagonjwa Mahututi