Papuchi ni neno la kiswahili?

Brojust

JF-Expert Member
Sep 17, 2016
296
792
Habari wanajamvi;

Salaam JF;

Nimekuwa nakutana sana na huu msamiati "Papuchi" katika nyuzi mbali mbali hapa JF. Je hili neno ni kiswahili fasaha ? Je limetokea wapi (Origin yake ) ? Je linatambulika kama msemo unaoweza kutumika bila kukiuka masharti pindi watu wawili wanapokuwa wanaongea faragha ? Natumaini mtanisaidia sana.

Wenu katika kukuza kiswahili..
 
Lugha ya kiswahili inakua..inaishi hivyo misamiati kuongezeka ni sawa tu..mfano neno kasheshe lilipoanza lilionekana la ajabu....salamu ya.Mambo.
..iliaminika ya wahuni.ghafla Mkuu.wa.nchi.enzi hizo akaanza.kulitumia..

Papuchi oyeeeeeeeeeee...........
 
Habari wanajamvi;

Salaam JF;

Nimekuwa nakutana sana na huu msamiati "Papuchi" katika nyuzi mbali mbali hapa JF. Je hili neno ni kiswahili fasaha ? Je limetokea wapi (Origin yake ) ? Je linatambulika kama msemo unaoweza kutumika bila kukiuka masharti pindi watu wawili wanapokuwa wanaongea faragha ? Natumaini mtanisaidia sana.

Wenu katika kukuza kiswahili..
Ulipoitamka 'Papuchi' tu 'Mshedede' umenisimama!!
 
Back
Top Bottom