Tusaidiane kuna baadhi ya maneno yamekuwa na mkanganyiko,Wataalam wa Kiswahili tunaomba mtusaidie jinsi tunavyowaita watu hawa:
1.Mtoto wako anamwitaje Bibi yako?
Watu wengi wamekuwa wakisema...
"Mimi huwa sisemagi ukweli"
Naomba mniambie hiyo sentensi hapo juu ina maanisha kuwa huyo jamaa ni mkweli?
Na kama ni mkweli, kwanini hapo kaongopa?
Na kama sio mkweli, maana yake anasemaga...
Sasa hivi kila kona ukipita utasikia "Damshy" Si makanisani wala Misikitini kote huko utasikia "DAMSHY". Si Wamama wala Wababa kila mtu anasema "DAMSHI"
Hivi hili neno limetoka wapi na maana...
Je, ni sahihi kukiweka hapa? Au maana nimetamani pia wanajukwaa tuburudike pamoja. Kitabu cha mashimo ya sulemani nikitabu bora sana japokuwa ni cha kizamani sana.
Habari za wakati huu, niende kwenye Mada ninaishi na mmiliki wa nyumba mmakonde hajui kuzungumza lugha ya watanzania kila wakati anazima taa usiku. Tumeshindwa kuelewana lugha ya kiswahili na...
Hbr wadau naomba maana ya maneno/misemo hii.
1. Ameenda nchi za nje. ( kwani nchi za ndani ni zipi)
2.Ameenda ng'ambo.( kenya nayo ni ng'ambo? Au ni ulaya tu
3.Ameenda Ughaibuni.( ndo wap...
"Aisee bro leo usipolipa deni lako familia italala njaa"
"Mungu saidia nimepata kura za kutosha AISEE la sivyo nyumba yangu ingeuzwa"
Swali: (i) Neno/Msemo Aisee ni la Kiswahili, kama ndio...
Hapo zamani nilikuwa nasoma katika magazeti hadithi za kusisimua za Eddie Ganel. Pia ameandika kitabu, Ndoto Ya Mwendawazimu. Kuna mtu ambaye ana habari za huyu mwandishi?
Hebu mnaoelewa kisweed twanbieni
Leo nikiwa mjini Stockholm nimeona jarida limeandika hivi
Vad gjorde Dr Magufuli berömd är mycket samma saker som fångade den tanzaniska befolkningen med...
Sasa hivi imekuwa kama aibu ukimwambia mtu au ukijitambulisha kuwa Mimi natokea Sengerema au naishi Sengerema kutokana na matumizi ya lugha wanayoitumia vijana wa siku hizi
Ni tukio lililotekea...
Siku moja kijana wangu wa kwanza mwenye Umri wa miaka minne (Rejoice I. J M) akiwa anaenda shule alikuta ma Pampers yaliyooza barabarani. Aliporudi nyumbani alilalamika kuwa dada yake (housegirl)...