Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
So far watu kumi wameshachangia... So far tupo wanachama 20.... Of course nimepitishia bandari ya mombasa...why not Bwana. . Hahaha worry not ntaclear hii balance... Check na mtu wa jikoni...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Haya maneno yana maana gani kwa jinsi yalivyotumika kwenye hizi methali? 1. Kisokula, sera, nale => (Kisokula mlimwengu,sera nale) 2. Konzo => (Konzo ya maji haifumbatiki) 3. Lila, fila => (Lila...
1 Reactions
7 Replies
25K Views
Kiingereza nii lugha ngumu kwa wengine na kwa wengine ni lugha rahisi sana, wanavyoita vitu kwa majina waingereza wanatofautiana kidogo na wamarekani ebu ona tofuti na ujifunze kitu ili cha...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
Hotuba yake ya Mwanza, ya Raisi Magufuli, Ndege ameleta kwanza, sasa ataleta meli, Hakujali kila kinza, Raisi katawakali, Kwanza ndege sasa meli, Raisi twampongeza. Raisi twampongeza, daima...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiingereza, kiswahili kinatesa watoto- Utafiti Tuesday, 14 December 2010 20:37 Hussein Kauli UTAFITI wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Uwezo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Asalaam wakuu Kumekuwa na mitazamo mingi na ukinzani wa fikra juu ya neno muda. Hadi sasa hakuna tafsiri wala maana moja inayoelezea neno muda ambayo imekubalika kwa wanazuoni wote. Baadhi...
1 Reactions
2 Replies
10K Views
Habari wenzangu, Nina swali juu ya kiswahili ifuatayo: (1) Je, kuna mtihani ya kiswahili ya kuthibitisha kiwango cha lugha? Kwa mfano kwa kiingereza huwa TOELF ama IELTS zinatumika. Pengine...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Karibu ujifunze Kiingereza Kozi hii ni mfululizo wa vijitabu vya kufundishia Kiingereza cha kawaida cha kuongea. Katika vijitabu hivi, utakuta mazungumzo ya Kiingereza, tafsiri, maelezo na...
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Hello wadau wa lugha. Nataka kumfundisha course ya kingerezamdogo wangu aliyehitimu darasa la saba . Sasa sina materials. Wenye vitabu vizur vya english course naombeni mnisaidie. Natanguliza shukrani
1 Reactions
34 Replies
6K Views
Wakuu, ni kwa nini kizazi hiki cha sasa kinaona ugumu kutumia herufi H kiusahihi? Neno Habari linaandikwa Abari, Hujambo inaandikwa Ujambo, Hayupo inaandikwa Ayupo. Mengine mtaongezea. Mwanzoni...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Leo nilikuwa naangalia habari KTN lakini niliona kiswahili kilichonifanya nifikirie. Kwenye habari yenyewe ni kwamba pale walipotaka kutangaza idadi ya vitu katika @Percentage walikuwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa kutumia kiswahili fasaha, Tunga sentensi nzuri yenye neno " Giza limeingia" Atakayetunga sentensi yenye like nyingi nimeandaa zawadi ya weekend!!!!
3 Reactions
51 Replies
7K Views
Huu usemi nimeamini baada ya kutoka kwa ajali za Mv Bukoba na Mv Nyerere ukiwa na maana ya meli/mtumbwi uzama/ uharibika pindi unapokaribia kufika kwa kweli wahenga waliona vingi.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa Tanzania hii naona Meli nyingi zinaanza na neno MV.....halafu Bukoba,Nyerere, nk.
1 Reactions
35 Replies
13K Views
Nasikia na kuona maandishi kwa kila mwenye shahada ya uzamivu kuitwa daktari!!! Je hii ni sahihi? bakita wangetusaidia kwa hili. Kwa maoni yangu: daktari ni tabibu na huyu mwanazuoni mwingine...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimeona mrembo amempost WhatsApp status kaka yake halafu anamwambia "amedamshi!"Mimi bwanashamba si vibaya mkanieleza nikajua ili mnitoe ushamba...
1 Reactions
25 Replies
16K Views
Huu usemi wana wanautumia sana kitaa...una maana gani. Wa OP pia mnakaribishwa
0 Reactions
11 Replies
3K Views
1. Charger - kimemeshi 2. Remote - kitenzambali 3. Password - nywila 4. Akala (bladder shoes) - kirikiri 5. Passion fruit - karakara 6. Kangaroo - bukunyika 7. Fridge - jokofu 8. Juice - sharubati...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Si mmesikia wimbo mpya wa Sauti Sol - Tujiangalie? Naona huu wimbo una maana nyingi juu ya historia na mwelekezo wa Kenya. Kuna mtu hapa mstadi wa Kiingereza ambaye anaweza kujaribu tafsiri...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kiingereza cha kiTanzania Wapendwa wana JF na wale wote wenye mapenzi mema na nchi yetu Tanzania; hapa ulimwenguni katika nchi zote zilizotawaliwa na mwingereza takriban kila moja ina...
0 Reactions
53 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…