MAMA NA BABA
MAMA: anakupenda mpaka ukimtazama machoni unauona upendo wake.
BABA: anakupenda bila kuonesha dalili yoyote machoni.
MAMA: amekutambulisha duniani.
BABA: ameitambulisha dunia kwako...
Nawasalim nyote,tafadhali naomba mnielekeze jinsi ya kuunganisha TV ya Samsung inchi 32 flat na Sony home theatre,shida yangu nataka sauti ya TV itokee kwenye home theatre nimejaribu kunganisha...
You have eyes
But do not see;
You have ears
But hearing you hate;
Brain you don't have
But thinking you want;
What sort of being are you?
Pluck out your eyes!
And you'll be excused
For then you...
wana lugha najua mnaweza kunipa ufafanuzi juu ya hili, nina mtoto ambaye anasoma class 4,na anapenda kujua maneno mengi ya kiingereza na kutafsiri kwa kiswahili,sasa kaniuliza JUICE kwa lugha yetu...
Denise Coates hulipwa mshahara wa zaidi ya Pauni za Uingereza 265 milioni (zaidi ya Shilling 340 bilioni).mwanamama huyu Ni Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni ya kamari ya Bet 365
Aidha, Coates ni...
Umewahi kuwa na ndoto ya kuzungumza Kifaransa kama lugha ya mama? Usikate tamaa, unaweza kuomba mwalimu kwa njia ya mtandao akakufundisha ukiwa nyumbani kwako maana KIFARANSA ukipata mwl mzuri...
Utamu wa embe dodo, nawaambia vijana,
Ni embe lisilo nyodo, mfano wake hakuna,
Hamuye ninayo bado, kwa mengine mimi sina,
Nimekula embe dodo, bolibo sitaki tena!
Nilipoona bolibo, nilidhani...
KHA-KISA GIZA.
1.Hakika kuna machungu,kushuhudia ajali
Eti amepanga Mungu,basi sisi tusijali
Si Leo ni zama tangu,watu wanatupwa mbali
Kha eti kisa ni giza,twasitisha kuopoa !.
2.Giza lazuia...
mkoa wa arusha umekua chimbuko la lugha mbili maarufu moja ikiwa ni Arachuga, na nyingine ikiwa ni kisharua ambayo maneno ya kiswahili zanasomeka toka kulia kurudi kushoto mfano *jamiiforum...
TUPEANE MIKONO.
1.Tukipeana mikono,ni ishara ya upendo
Kuna ua migongano,mikono funzo la jando
Waonao mgangano,hao wana mbovu nyendo
Nakupenda wanipenda,tupeane na mikono.
2.Tukipeana...
1.Kweli ulitupa tabu,tena tabu kubwa sana
Tabu zilo na sababu,hasa ulipo tuchana
Uliwasema vibabu,wazee hata vijana
Mapoti na mabawabu,uliwaponda mchana
Dada kuacha siasa,wazee tutapumua...
Wadau za saa hz? Mie naomba kuuliza tu, hivi hili neno haki lina maana gani hasa?
Unakuta mwanasiasa mpinzani anasema yupo tayari kufa kwa ajili ya kutafuta haki.
Mwenye madaraka nae anasema...