kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
Nawasalim nyote,tafadhali naomba mnielekeze jinsi ya kuunganisha TV ya Samsung inchi 32 flat na Sony home theatre,shida yangu nataka sauti ya TV itokee kwenye home theatre nimejaribu kunganisha mara nyingi lakini imenishinda kwni nimejaribu mara nyingi sana.
Natabguliza shukrani zangu kwenu
Natabguliza shukrani zangu kwenu