Huyu ndiye mwanamke anayelipwa mshahara mkubwa zaidi ulimwenguni

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,508
2,000
Denise Coates hulipwa mshahara wa zaidi ya Pauni za Uingereza 265 milioni (zaidi ya Shilling 340 bilioni).mwanamama huyu Ni Afisa Mkuu Mtendaji wa kampuni ya kamari ya Bet 365
Aidha, Coates ni kati ya watu matajiri zaidi duniani akiwa na utajiri wa Dola 4.1 bilioni.Kitita cha mshahara anaolipwa Coates zikiwa zimepangwa katika noti za 1000 zinaweza kufanya mnara mrefu zaidi ya jumba la Times Times Tower.
Mshahara wa Coates ni zaidi ya mara tatu anachopata mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Apple Tim Cook ambaye alipokea £ 80 (zaidi ya bilioni 10.5).Tofauti hii inatiliwa maanani ikizingatiwa Apple ndiyo kampuni yenye thamani kubwa zaidi duniani.

Kulingana na mtandao wa Guardian, mapato ya Bet 365 yalifika 52 billioni ( zaidi ya 6.8 trilioni), pato ambalo limepita pato jumla la mataifa kama Uruguay, Croatia na hata Kenya.

Aidha, kuchora taswira kamili mshahara wa Bi Coates wa miaka 10 unaweza kulipia deni la reli ya kisasa ya SGR kutoka dar kwenda dom
Aidha kampuni ya Bet365 ndiyo ambayo ndiyo pia inayomiliki Stoke City.

Screenshot_20181126-185028~2.jpeg
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,800

View attachment 946937
Mke analipwa zaidi ya hiyo sema nimemkataza asijitangaze maana jiwe hakawii kuanza leta upuuzi wake.

BTW leo umeenda shule?
 
magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
6,326
2,000
Poa em tusikie wazee wa "Hizo Pesa Hatazikwa Nazo" wana maoni gani kwenye huo mshahara.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom