Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habari zenu? Tafadhali nawaomba Ndugu zangu, kama uñajua lugha haipandi usilazimishe. Kiswahili ni lugha pia. Asanteni.
1 Reactions
14 Replies
988 Views
Wakuu wangu wa kazi, nahitaji kuwa konki kwenye kiswahili na hapa nimejipanga kwanza niweze kumiliki kamusi ili kila siku nipate maneno kadha wa kadha. Nahitaji pendekezo lenu kwa upande wa...
1 Reactions
1 Replies
546 Views
Kichwa cha uzi cha husika. Karibu Sent from my TECNO PR651H using JamiiForums mobile app
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Kwanini lugha ya kiingereza ni tatizo kwa Watanzania na wanafunzi wengi wa Tanzania hususan wa shule za kata
1 Reactions
10 Replies
928 Views
Mjapani Fumiyo Jin mwenye shauku ya kujifunza Kiswahili ili aweze kukalimani Kijapani-Kiswahili
3 Reactions
3 Replies
646 Views
Habari zenu wanajamii forums Leo naomba kuelekezwa maana ya neno NDWELE maana tunasema yaliyopita si NDWELE tugange yajayo sasa nini maana ya NDWELE maana ninalisikia kwenye huu msemo tu ila...
2 Reactions
11 Replies
19K Views
Wanajamvi manju ni nani,au ni nini?
1 Reactions
9 Replies
33K Views
Habari wanaJF, Natamani ningepata mtu wa kunitengenezea application au system ya watu kujifunza lugha mpya za kibantu na zile za zisizo za kibantu. Kwa yeyote anaeweza kuandaa mfumo kama huu...
2 Reactions
2 Replies
781 Views
Nilipokuwa form One baadhi ya maneno nilikuwa naya-assume (najitengenezea) maana zake katika fikra zangu kwa sababu kiingereza lilikuwa hakipandi. Yafuatayo ni baadhi ya maneno ya kiingereza na...
11 Reactions
131 Replies
4K Views
Aight, lemme break it down real smooth for you — street style. Listen up, English be the most taught language on this damn planet, no cap. You go any corner of the globe — Africa, Asia, Europe...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Wadau Kwema Naomba kuuuliza ni wapi wanatoa mafunzo ya lugha ya kifaransa ndani ya Jiji la Dar es Salaam
2 Reactions
45 Replies
2K Views
Kuna maneno yanaanza kuzoeleka kama ya Kiswahili wakati siyo. Utasikia mtu akisema punguza makasiriko. Kiswahili sahihi hakuna makasiriko bali hasira au ghadhabu. Mwingine utasikia akiseme...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Salaam JamiiForums Natamani kujua vyema lugha ya Kiingereza. Natamani ningeongea Kiingereza hata Kwa asilimia 50 tu naamini ningetisha sana. Achana na stori hizi, eti tunakuza na kudumisha...
20 Reactions
47 Replies
2K Views
"Solid" ni nini kwa kiingereza?
1 Reactions
9 Replies
843 Views
Kumekuwa na tabia inayoendelea kukomaa kwenye jamii na haswa kwa Vijana ambapo huona ni ujanja kutumia maneno ambayo tulishakubaliana kama jamii kuwa ni matusi.Haswa matumizi ya kutaja maumbile ya...
1 Reactions
1 Replies
498 Views
Mshindi wa kwanza wa Tuzo ya Taifa ya Uandishi bunifu(TuzoNyerere) 2025 nyanja ya Ushairi Sheikh Hussein Kondo Abdallah Almaarufu Daruweshi Mkulu Wanyika atangaza neema kwa watunzi. Ameweka...
2 Reactions
1 Replies
380 Views
Tafsida kuu ya neno Kujamba ni Upepo Baridi hivyo kuanzia sasa Mtu akijamba sema Mtu ametoa Upepo Baridi sawa?
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Listen up, vijana wa Bongo: Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama: "Yo, I been grindin’ since day uno, no cap." "I’m outchea...
2 Reactions
6 Replies
581 Views
Naomba kujua maana ya neno Upwiru kama linavotumika mitandaoni mf "natamani kuwa singo ila nina Upwiru linakaba koo".
0 Reactions
6 Replies
57K Views
Wadau wale wanazungumza lugha ya hispania hapa ndio tuongeze maujuzi maujanja tuchat kwa lugha hii tusipoteze dira ili na wale amabao wana uelewa mdogo waendelee kuzoea. Ushauri Tufanye yetu...
3 Reactions
209 Replies
22K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…