Ninavoelewa mie JK ni kifupi cha ama Julius Kambarage au Jakaya Kikwete. sasa ili kutofautisha mhusika wa kifupi hicho ni vema tukaachana nacho na kama tunataka kutumia vifupisho vya hawa viongozi...
Unapoongelea lafudhi ya kiswahili na baadhi ya misemo ya mtaani (japo si sana na kote) basi kwa Arusha kuna lafudhi nyingi.
kuanzia KIkatiti,maji ya chai,usa,tengeru mpaka kufika maeneo ya...
Kwema wakuu,natafuta sehemu au chuo,kinacho fundisha lugha za asiri za hapa TZ,
nataka kujifunza kimasai,kichaga na kigogo,kwa anaye jua wapi nitapata msaada wa lugha hizo,naomba taharifa.nipo...
Hili neno huwa linatumika sana katika wakati wa ujazaji wa nyaraka mbalimbali mf. Mikataba ya ajira,hospitalini,mauziano ya vitu n.k.
Swali langu naomba kuelimishwa "implication" yake hasa ktk...
Taabu kidogo kwa Vijana wa leo Lugha na maandishi yalivyo unaweza pata shida kumuelewa haswa nini kakikusudia kubandika,
Unaweza pata rafiki tena akawa yupo chuo kikuu kabisa kabisa akawa...
Ni ukweli usio na shaka lugha mama ya kiswahili ina uhaba mwingi wa maneno. Hali hii imesababisha kukopa baadhi ya maneno kutoka katika baadhi ya lugha, mfano mpaka leo binafsi sijui kinyume cha...
Naomba tafsiri ya neno hilo kwa kiswahili likitumika katika muktadha wa uandishi wa taarifa( report) au kitabu pale mwanzoni.
Kwa mf
Introduction
Background
Preface
Wakuu habari ya majukumu ya kutwa. nina rafiki yangu anaomba nimsaidie katika kujifunza lugha ya kiswahili. Tatizo sina muongozo wa kumfundishia, naomba kwa yeyote aliyenao anisaidie. Natanguliza...
Wakuu habari ya majukumu ya kutwa. nina rafiki yangu anaomba nimsaidie katika kujifunza lugha ya kiswahili. Tatizo sina muongozo wa kumfundishia, naomba kwa yeyote aliyenao anisaidie. Natanguliza...
Je, kiingereza kinakusumbua? Je,hujajua sehemu sahihi ya kujifunza kiingereza? Sasa anza nasi kujifunza kiingereza kupitia mtandaoni (WhatsApp) utajifunza kiingereza kwa kiswahili hi ni...
Transcriber/translator needed in Moshi.
Looking for an efficient and reliable transcriber/translator for Kiswahili interviews used in social science research. The research studies livelihoods of...
1.UTANIKUMBUKA
1, Nikazibeba dhihaka, kukusitiri na chuki.
Nikaitwa jina paka ,na mengi sana matusi.
Lawama nikajivika, nikazidisha juhudi.
Umenisahau...
Kuna mdau kanambia "I have many fishes to fly" akimaanisha ana mambo mengi ya kufanya. Kasema huu ni msemo wa englishi kumaanisha hivo. Wataakam wa lugha nisaidieni kama yupo sahihi
sent using...
Nimekuta mjadala kwenye daladala. Je ni sahihi mwanaume unapomwita kwa jina kuitika "RABEKAH"? Au anapaswa kuitika kuitika vp? Kuna ambao wanadai Rabekah wanaitika wanawake pekee.
Kuna wanaume...
Kuna hili neno "Kuswali", huwa linanitatiza sana, na linaonekana kurasimishwa na jamii ya watu wa uswahili ilhali si neno rasmi ambalo lipo kwenye orodha ya lugha yetu adhimu ya kiswahili
Tena...
Wapo watu wangu wanaowaita hawa wahisani, wengine wakiwaita washika dau wa maendeleo, wakoloni au hata wapo wanawaita mabeberu.
Ni lipi jina sahihi kwa kundi hili ama ni watu tofauti?