De Facto List
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 324
- 1,185
Ni ukweli usio na shaka lugha mama ya kiswahili ina uhaba mwingi wa maneno. Hali hii imesababisha kukopa baadhi ya maneno kutoka katika baadhi ya lugha, mfano mpaka leo binafsi sijui kinyume cha neno Uzalendo.
Utundulissu sio tusi/kashfa ni sifa kwa maana ya kumtunuku Mzalendo wetu aishiye Ughaibhuni.
Sio mjuvi sana wa misamiati ya kiswahili..lakini katika lugha ya kiingereza kuna kitu kinaitwa 'Eponym' ambacho kwa maana isiyo rasmi ni kukaimisha 'kitendo' kwa niaba ya 'jina' la mtu. Hii hutokea pale muhusika wa jina anapokuwa aidha muanzilishi wa kitu au tendo fulani.
Hili si geni maneno kama boycott, Volts, Columbia na hata sandwich kwa uchache yalitokana na wahusika.
Hoja ya msingi si kutumia maneno ya Karia kisiasa bali ni 'tushauriane' na kutoa mapendekezo ni kwa namna neno( utundulissu) linabeba uhalisia wa mzalendo huyu.
Kwa ninavyomfahamu mimi, Utundu lissu litafaa kutumika kumaanisha.. 'msaliti wa nchi', 'mtu mbinafsi na mfakarakishinaji', 'kuropoka', 'kuzurula', kupotoka/kupotosha, kutumika n.k
Jumapili Njema wapendwa katika Bwana.