Neno geni la kiswahili lenye umaarufu

Mkwawe

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
2,345
4,168
Kuna hili neno "Kuswali", huwa linanitatiza sana, na linaonekana kurasimishwa na jamii ya watu wa uswahili ilhali si neno rasmi ambalo lipo kwenye orodha ya lugha yetu adhimu ya kiswahili

Tena jambo la kushangaza kuna wengine ambao wamekuwa mstari wa mbele kukosoa utumiaji wa maneno ya kiswahili nao wanalitumia katika uwasilishaji wao wa taarifa

Hili jambo halikubaliki ni kuharibu uhalisia wa maneno ya lugha yetu pendwa

Naomba nieleweke sitaki muliweke suala hili kiimani au kidini niko nje kabisa na muktadha huo

Naheshimu Imani za watu Wote kasoro wasabato
 
Eti amedai mapdri wa katoliki waruhusiwe kuolewa au kuwa na wanaume maana wengi wao ni mashoga.
Ukiwa mvuta bangi lazima uwaone wala ngada ni vioja na mazuzu

Kumbe Wote sawa tu, mmoja mbu mwingine kunguni
 
Kuna hili neno "Kuswali", huwa linanitatiza sana, na linaonekana kurasimishwa na jamii ya watu wa uswahili ilhali si neno rasmi ambalo lipo kwenye orodha ya lugha yetu adhimu ya kiswahili

Tena jambo la kushangaza kuna wengine ambao wamekuwa mstari wa mbele kukosoa utumiaji wa maneno ya kiswahili nao wanalitumia katika uwasilishaji wao wa taarifa

Hili jambo halikubaliki ni kuharibu uhalisia wa maneno ya lugha yetu pendwa

Naomba nieleweke sitaki muliweke suala hili kiimani au kidini niko nje kabisa na muktadha huo

Naheshimu Imani za watu Wote kasoro wasabato
Umeongea wee lakin sentes ya mwisho umezngua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hebu jiulize kwanza, ni nani anayemiliki lugha fulani mf. Kiswahili.

Utapata jibu kuwa watumia hiyo lugha ndio wamiliki na waendelezaji wa hiyo lugha.

Sasa kama watumiaji ndio wameamua kuuleta huo msamiati na kuutumia....

Na kama neno hilo si la msimu, au si la kilahaja ni msamiati mpya basi taratibu za kulisanifisha lichukue nafasi yake na wale watakaona ni shida kulitamka watatumia lile walilolizoea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hili neno "Kuswali", huwa linanitatiza sana, na linaonekana kurasimishwa na jamii ya watu wa uswahili ilhali si neno rasmi ambalo lipo kwenye orodha ya lugha yetu adhimu ya kiswahili

Tena jambo la kushangaza kuna wengine ambao wamekuwa mstari wa mbele kukosoa utumiaji wa maneno ya kiswahili nao wanalitumia katika uwasilishaji wao wa taarifa

Hili jambo halikubaliki ni kuharibu uhalisia wa maneno ya lugha yetu pendwa

Naomba nieleweke sitaki muliweke suala hili kiimani au kidini niko nje kabisa na muktadha huo

Naheshimu Imani za watu Wote kasoro wasabato
Wew chizi kwahio hilo ndio neno lenye umaarufu au ulitaka kuleta ligi tuu. Angalia kichwa na content ziko tofauti
 
Nani anamilki kiswahili kama sio wewe

HAKUNA KISWAHILI CHA "KUSWALI"
Na haliwezi kuwa neno jipya kamwe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom