ONLINE ENGLISH COURSE.

Doris Dionis

Member
Nov 20, 2018
45
36
Je, kiingereza kinakusumbua? Je,hujajua sehemu sahihi ya kujifunza kiingereza? Sasa anza nasi kujifunza kiingereza kupitia mtandaoni (WhatsApp) utajifunza kiingereza kwa kiswahili hi ni kumuwezesha mwanafunzi kuelewa kwa haraka.

Njia Za Kujifunzia
-Sauti(Voice note)
-Video
-picha
-maandishi nk.

Mfano:
Njia ya sauti hi itakusaidia kujua utamkwaji wa maneno kama were/waa, university/yunivesti nk.

Mafunzo ni online pekee ukiwa duniani popote utaweza jifunza kiingereza fasaha.

Mada ni 4
-Tenses/Nyakati
-Tenses in passive voice/nyakati katika hali ya kutendwa.
-Parts of speech/sehemu za semi.
-Grammar/Sarufi.

Ndani ya miezi miwili itakutosha kujua kiingereza kizuri,huenda kiingereza unakijua Ila Tenses/nyakati zinakusumbua sana basi utaweza jifunza zote 12 kwa usahihi na kiwango cha juu.Masomo ni kila siku anza mwaka na ENGLISH ONLINE COURSE .(kila topic ni sh 10,000) tuuu.

Tuma neno MAFUNZO kwenda namba +255 626 501 004.WhatsApp.
2a27fc6c58d26381a221ff9722fbf914.jpg

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Nimesubscribe kwa matumizi ya kuanzia Jumatatu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutajifunza kwa kifupi kama mfano wa masomo! Tutajifunza nyakati/tenses yeyote unaruhusiwa kukosoa,kurekebisha ,kuuliza ama kuongeza katika uzi huu.Tutaanza na (SIMPLE PAST TENSE)

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Somo la 1

(SECTION A; TENSES IN THE ACTIVE VOICE )

(A)Simple Tenses :

1. Simple Past Tense ( ‘li’)
- Wakati huu huongelea jambo lililofanyika na kukamilika mara moja wakati uliopita.
Mifano ; tulikuja ,walitembea, alicheza.
- Wakati huu huashiriwa na silabi ‘li’ ambayo hufanya tutambue kuwa tunaongelea jambo lililofanyika mara moja na likamalizika kufanyika katika wakati uliopita. Hii silabi ‘li’ ni lazima iunganishwe na kitendo moja kwa moja kabla ya kitendo. Mfano ; ‘Tuliimba’, tofauti na ‘Tulikuwa tunaimba’ ambapo ‘li’ imefuatiwa na kifungu ‘kuwa’ na sio kitendo. Katika maneno ‘tulikuwa tunaimba’, kitendo ‘imba’ kimetanguliwa na ‘na’ na sio ‘li’ kwa hivyo maneno hayo hayapo katika wakati huu wa Simple Past Tense, ‘li’.

Kanuni za kutumia Simple Past Tense ‘li’

a) Sentensi za taarifa/kutoa taarifa
Katika wakati huu, huwa tunapoelezea jambo tunatanguliza mtendaji wa jambo, (I/We/You/They/He/She/It) kisha tunafuatisha kitendo moja kwa moja kikiwa katika umbo la wakati uliopita.
Mfano ; - kitenda ‘enda’ ni ‘go’. Umbo lake la wakati uliopita, yaani ‘-lienda’ ni ‘went’. Tutatanguliza mtendaji wa jambo kisha tufuatishe neno ‘went’.

Sentensi za mifano;
- Juma alienda. ………. Juma went.
- Tulienda. ……… We went.
- Basi liliondoka. ……. The bus left.
- Nilicheza. ……. I played.
- Uliimba. ….. You sang.
- Walikimbia. ….. They ran.
- Maria alipika. ……. Maria cooked.
NB : Hatuweki kitu chochote katikati mwa mtendaji na kitendo.

b) Kuuliza maswali katika Simple Past Tense

- Maswali katika wakati huu huanzia na neon ‘did’. ‘Did’ ikitumika ni lazima kitendo kiwe katika umbo la kawaida kwa sababu ‘did’ ina ‘li’ ndani yake hivyo ‘li’ nyingine haihitajiki. Ina maana hiyo ‘did’ tayari imeshawakilisha wakati uliopita.
- ‘Did’ hufuatwa na nafasi inayouliziwa swali.
Mifano ya tafsiri :
- ‘Did Juma ___ ?’ …….. ‘Je, Juma ali______?’
- ‘Did they ___ ?’ ………. ‘Je, wao wali______ ?’

Sentesi za mifano :

1. Did Juma go?
Je, Juma ali enda ?

Jibu ; ( Hapana, hakuenda)…..( Kukanusha)
No, he didn’t go.
Au ; ( Ndio, alienda)…. Kukubali
Yes, he went.

2. Did she cook?
Je, alipika?

Jibu ; ( Hapana, hakupika)…..Kukanusha
No, she didn’t cook.
Au ; Ndio, alipika….. (Kukubali)
Yes, she cooked.

NB ; Tukiongeza neno ‘did’ katikati mwa jibu la kukubali, huwa ni kuweka msisitizo kama vile ambavyo kwa Kiswahili huwa tunaandisha sauti ili kuweka msisistizo ila sasa kwa Kingereza sauti haipandishwi ila msisitizo upo pale pale.

Mifano ; 1. Did Juma go ? …… Je, Juma alienda?
- Yes, he did go. ….. Ndio, alienda! (KWA MSISITIZO)

2. Did they cook? …….. Je, walipika?
- Yes, they did cook. …… Ndio, walipika! (KWA MSISITIZO)

NB ; Tunapokanusha sentensi kwa kutumia ‘did not’/ ‘didn’t’ , huwa hatutumii kitendo kikiwa katika umbo la wakati uliopita maana ile ‘did’ inakuwa imeshawakilisha wakati uliopita (‘li’ ambayo kinume chake ni ‘haku’) kwa hivyo hatuhitaji wakati uliopita kwa mara ya pili. Tukitumia umbo la wakati uliopita pia kwa kuuliza swali lililoanzia na ‘did’ pia tunakuwa tumeweka ‘li’ mbili katika sentensi, jambo ambalo sio sahihi.

Mifano ; 1. She didn’t went yesterday. ( Badala ya ‘She didn’t go yesterday.’)
Haku lienda jana. ( Badala ya ‘Hakuenda jana.’)no

ViAu; 2. Did she went yesterday?
( Badala ya ‘Did she go yesterday?’)

- Je, yeye ali lienda jana?
( Badala ya ‘Je, yeye alienda jana?)(kwa masomo zaidi wasiliana nasi WhatsApp)

Ahsante mwalimu. Nimeanza kujifunza jambo hapa...

Kwa wale mnaojifunza mfanye zoezi!

Zoezi

Badili sentensi hizi kwenda kingereza

1.nilikula

2.walikula

3.Roboti na Erick walipika

4.Agy alicheza mpira

5.David ali....?

Masahihisho ni asubuhi.

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Corretion

Nilikula_I eate

Walikula_they eate

Robot na Erick walipika_Robot and Erick they cooked

Agy alicheza mpira_Agy played a ball

David ali....?_did David....?

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Sasa, tunapotaka kubadilisha umbo mama kwenda umbo la wakati uliopita ( ili tuweze kulitumia tunapoongelea wakati uliopita), kuna njia mbili kuu ;

1. Kuongeza herufi 'd' au 'ed' au 'ied' kwa kitendo.

Mifano ;

Smile + d = smiled

Cook + ed = cooked

Cry + ied ( unatoa hiyo 'y' kwanza) = cried

2. Umbo linabadilika kabisa kiumbile

Mifano;

'Go' inakuwa 'went'

'Eat' inakuwa .........

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Zoezi

Tafsiri sentensi hizi kwenda kiingereza.

1. Juma alipika.

2. Maria alicheza.

3. Juma aliimba.

4.Nilikula.

5. Nilisali.

Tafsiri sentensi hizi kwenda kiswahili.

1. Did I.....

2. Did my friend.....

3. Did you ......

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using Tapatalk
 
Usisahau kutembelea huu Uzi kila siku asubuhi kufanya mazoezi.Hi itakusaidia kuanza masomo nasi Tuma neno MAFUNZO kwenda 0626 501 004. WhatsApp pekee.

Back
Top Bottom