Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Kwema wana JF? Narudi tena na hili jambo ambalo nimeliandika humu kwa muda mrefu lakini nashangaa ni watu wawili tu wamenitafuta. Kama kuna mtu yeyote wakiwemo wanafunzi anayeweza kuandika au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu Wakuu, Naomba kuuliza kwa yeyote anaejua ni wapi wanafundisha lugha ya Kireno kwa bei nafuu kwa hapa Dar es Salaam naomba anijulishe
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wAkuu umofia kwenu? kuna huu msemo unaosema...mchana tochi usiku magogo? je nini maana yake?
0 Reactions
12 Replies
4K Views
If Teresa's daughter is my daughter's mother, what am i to Teresa? A) Grandmother B) Mother C) Daughter D) Granddaughter E) I am Teresa
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hili swali nililikuta mahali nikashindwa kujibu Hapo maana yake ninini?
0 Reactions
11 Replies
49K Views
Wale wazee wa Grammar,,,, embu njooni mtuambiee hapa....! Someone asked "are you with it"? Which is the best answer to be answered amongst of the following,,,, a) am not with it... b) its not...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
"Dead-beat dad" - mwanaume anaegoma kulea mtoto wake maksud' anaitwaje kwa kiswahili sanifu kabisa ?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kunatofauti gani kati ya mbalamwezi na mwezi ikiwa ni kimatamshi au kwa nyakati za vipindi nataka kujua...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuondoka kwa harmonize ni fundisho kubwa Sana kwa WCB... Viongozi wa WCB walikuwa wakimbania sana Harmonize ili asimzidi Boss wake Diamond hadi wanaanza kuzibana ngoma zake wakati tetema imetoka...
14 Reactions
65 Replies
8K Views
Wadau, Nahitaji kujifunza lugha ya kifaransa, Je inawezekana nikawa vizuri ktk kuongea ndani ya wiki 2 au mwezi mmoja? Kama inawezekana ni wapi naweza kupata mafunzo ya lugha hii? Shukrani...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Amani iwe juu yenu wakuu Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu Ivi ni nini maana ya popoma Je popoma ni ndege au mnyama? LONDON BOY
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wana JF. Kama kuna mtu yeyote anayeandika hadithi kwa lugha kwa kiingereza ningependa kuzitafsiri hadithi zake kwa lugha ya Kijerumani. Nitatoa kipaumbele kwa hadithi ambazo tayari ziko...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, Nimekuja naomba mnisaidie maana ya msemo ufuatao: Kuna sehemu nilikuwa nikipita mama mmoja alikuwa anapenda kuniimbia wimbo huu Nguruwe pita sina mkuki mie wewe haramu kwangu...
0 Reactions
2 Replies
8K Views
1. Head of Department - Mudiri wa Idara "ya" 2. Dean of School - Amidi wa Shule kuu 3. Dean of Faculty - Mtiva wa Kitivo "cha" 4. Collage - Ndaki 5. Principle - Rasi 6. Principle of Campus...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu, IDD Mubarak! Nini maana ya methali 'Mkaidi hafaidi mpaka Siku ya Idd'? Ahsante.
1 Reactions
10 Replies
6K Views
Kutokana na sakata la kuibiwa machine ya Ultrasoud, vyombo vingi vya habari vimekua vikielezea kuhusu tukio hili. Wengi wamekua na matamshi tofauti, sasa je tunatamka Yutrasaund au Altrasound...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari ndugu....naomba wataalamu wa lugha ya malkia mnisaidie tafsiri ya hii reply niliyokutana nayo katika pitapita zangu hapa JF,ilikua mwaka 2008
0 Reactions
3 Replies
2K Views
1. ARBITRARY: based on individual discretion or judgement, NOT based on OBJECTIVE distinction, perhaps even made at RANDOM. 2. AMBIGUITY: something, particularly words and sentences open to more...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kuna mengi katika historia ya ushairi na maisha ya washairi ndani ya Tanzania ambayo kwa kiasi kikubwa imekuwa haijukani na wengi wala kuhuifadhiwa katika kumbukumbu nzuri za kihistoria kwa sababu...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Mafumbo ni aina ya tungo fupi ambazo huwa na maelezo yanayoishia kwa swali; kisha anayejibu huhitajika kufikiria ili kutambua jibu. Kinyume na vitendawili, majibu ya mafumbo huwa na maelezo...
1 Reactions
2 Replies
24K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…