Wataalamu wa lugha ya Kiswahili nisaidieni tafsiri ya haya maneno

Canvas:
A type of coarse cloth, woven from hemp, useful for making sails and tents or as a surface for painting.

Canvas:- 1.Chandarua, 2.Shira, 3.Turubai.

Sina uhakika lakini, Jaribu kuangalia na lile SHUKA kwenye MASHUA.
 
"Sync" ni kifupi cha "synchronize" (kitenzi) ama "synchronization" (nomino). synchronize ingekuwa landanisha na synchronization, mlandanisho, kufuatana na klnX IT Glossary (The Open Swahili Localization Project iliyoendeshwa na Taasisi ya uchunguzi wa Kiswahili Chuo Kikuu cha Dar es Salaam 2009).
 
Back
Top Bottom