Huwa nasikia neno kimeumana. Sijui maana yake

Father of All

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
6,376
6,708
Wapendwa wanangu, naamini hamjambo. Mie baba yenu ni mzee wa zama za dhahabu. Huwa nasikia neno kimeumana. Sijui maana yake. Mara ya kwanza, nililisikia kule Nairobi aka Nairobbery Kenya, ila sikupata fursa ya kuwauliza shengpeople walokuwa wakilitumia.

Kwanza, ni nini hicho kinachoumana? Kinaumana vipi na kwanini? Kwa wajuzi hata wajuvi wa Kiswahili fasaha, hebu nifungue macho. Je KIMEUMANA maana yake nini?

1631304086334.png
 
Ulishawahi kuona mbwa wamenasiana..? Basi huko ndo kimeumana!.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 japo sijawahi ila nakuelewa mwanangu
Siku utaelewa ukipoteza nauli halafu usiku na umbali ni mrefu! Au unasimu ya mchina inayojitype.. siku itamuandikia baba mwenye nyumba "njoo uchukue hela ya Kodi halafu kumbe we hauna hapo ndo kimeumana..🤣
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Ina maana umepatikanika.
Umepatikana,

Kama ni kitu kibaya basi huna jinsi lazima ukumbane nacho.

Sema kimeumanaaaaa!
 
Kuna siku nimemsikia pastor fulani akiwaambia waumini wake"sema kitaumanaa" nao wanarudia kitaumanaa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom