Je kikwenu mama uitwaje? SISI kikwetu yaani kiganda, nyoko ni mama,ukitaka kujua Hali ya mama kiafya unaniuliza NYOKO MGUM?
Je kwa kiswahili nyoko ni Nini?
Je nyoko wako ndugu msomaji ni MGUM?
Habari wana JF
Kuna kitu nimekuwa nikikiona mara kwa mara kwa wateja wanakuja kuulizia bidhaa dukani.
Mteja baada ya salamu anauliza kwa kutumia wingi, hata kama anahitaji kitu kimoja tu...
Vihusishi 'na' na 'kwa' vinakosewa sana katika matumizi kiasi cha kuleta mkanganyiko katika mawasiliano ya kila siku.
Kwa mfano, mtu anasema "Nilisafiri na gari", badala ya "Nilisafiri kwa...
Unajua kuna wasomi wamesoma mpaka Masters PhD ila cha kushangaza mtu huyu anapoambiwa jitambulishe anaanza kwa kusema "kwa majina ninaitwa........" kaka na dada zangu sio kwa "kwa majina" ila...
Matumizi ya vitu hivi viwili KATIKA kuremba nywele, huchanganya.
Ukweli ni huu.
Kazi ya Chanuo ni kuchana nywele, YAANI kutengenisha nywele kimakundi.
Kazi ya kitana ni kutana nywele neno...
Unajua watanzania wengi wakisikia neno Bodaboda wanajua ni neno lenye chimbuko la Kiswahili au lililoanzishwa Tanzania. Lakini si kweli
Neno “bodaboda” halikuzaliwa Tanzania —lilizaliwa mpakani...
Samahani nina swali kuhusu neno mjegeje. Nimesoma neno mjegeje lakini sijajua na sijaelewa maana yake. Nimegoogle na sijapata kamusi inaonyesha neno hii. Neno hii ni neno ya slang au kwa nini neno...
Wakuu habari za majukumu? Katika pitapita zangu mitandaoni nilikuwa na kiu ya kujua kampuni ya philips makao yake makuu yapo wapi?
Google wakanijibu ni Netherland na translate kwa chini pale...
Kwa umri wangu, Kingereza nimeweza kukifahamu vizuri sana kuliko Watanzania wengi, kwa sababu kuu mbili:
1. Nimekulia na kusoma Tanganyika na Tanzania, lugha ya kwanza ya kuanza kusomeshewa...
Wahariri wa magazeti, watangazaji (presenters), wachambuzi uchwara wa siasa na mpira kwa nini mnapenda kutumia neno 'aidha' badala ya 'ama'?
Ni kwamba uchawa unawachanganya ama waliowafundisha...
1. Muhanga. Huyu ni mtu aliyejitoa/aliyetolewa sadaka au aliyepitia mateso kwa Kwa ajili ya jambo fulani lenye thamani kama imani, taifa n.k.
Mfano, alikuwa 'muhanga' wa vita kwa kuwa alikuwa...
Dear Love
I know you cannot read this now (may be you can, I don't know),
Its been few days since you left us, in the most sudden , shocking and unpredictable way. I am still not able to...
Watu wengi au karibia watu wote hutumia hii kauli.
Je ni sahihi?
Nilimkuta hayupo
Unamkutaje mtu alafu mda huo huo anapotea
Wajuzi wa lugha tupeni muongozo, hii imekaaje?