Lugha hukua kama kitu kingine. Sio kila neno litapata fursa ya attention na hadi kuwekwa kwenye kamusi.
Mjegeje ni Uume wa mwanaume. Asante.


Umenikumbusha mbali sana.Mjegeje ni BUNDUKI Ulikuwa ni kama msimu kipindi filamu za kimarekani zinatazamwa sana Tanzania.Mfano filamu za Rambo na Anord.