Nini maana ya neno Ikama?

msela kuntu

Senior Member
Jun 28, 2019
116
183
Kuziba mapungufu ya ''IKAMA''

linamaana gani hili neno mwenye uelewa kuhusu hilo neno alilotamka afande CDF?

Ili tujue Ikama ni nini?
 
Kuziba mapungufu ya ''IKAMA''
linamaana gani hili neno mwenye uelewa kuhusu hilo neno alilotamka afande CDF? Ili tujue Ikama n nn ?
 
Kuziba mapungufu ya ''IKAMA''

linamaana gani hili neno mwenye uelewa kuhusu hilo neno alilotamka afande CDF?

Ili tujue Ikama ni nini?

Ikama ni neno la Kiswahili lenye maana ya ; idadi ya (watu) wajumbe, wanachama, wanajeshi nk, ambapo idadi hiyo ikitimia katika kikao kwa mujibu wa kanuni au sheria iliyokuwepo kikao hicho kinaweza kufanyika.---- kifupi Ikama ni idadi ya watu wanaoweza kukaa kikao fulani. Kwa kimombo ndio "Quorum".
 
Hii ni akidi siyo ikama
 
Mokaze unachanganya maneno hayo- IKAMA, silijui vizuri ILA siyo quorum! Kiswahili cha quorum ni AKIDI, yaani idadi ya wajumbe inayohitajika kisheria ili kikao husika kianze! Na mara nyingi AKIDI hitajika huwa ni nusu au zaidi kidogo ya wajumbe halali wa kikao husika.
 
🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom