Pesa si matumaini yao
Ni msukuma mkokoteni
Tena na jua kali kichwani
Pato lake sio ahueni
Pesa si matumaini yao
Ajabu mwajiriwa tajiri
Na mwajiri wake ni fakiri
Analipa, kipato swaghiri
Pesa si...
Habari za mda huu wakuu. Kwanza kabisa nikiri kuwa asiyekubali kujifunza hafai kuishi katika dunia hii ya mabadiliko,
Leo katika pitapita zangu nikaona jengo flani ivi limeandikwa MINI SUPER...
Siku hizi kuna msemo maarufu sana wa 'pira papatu papatu', wengi hawaelewi asili ya msemo huu.
Msema huu asili yake mchanganyiko wa struggles za na sauti zitokanazo na samaki anapokua akirukaruka...
Habari za asubuhi wana JF,
Nimekuja humu nina shida ndogo maana penye wengi pana mengi nimehamia nyumba fulani hapa jijini wenye nyumba ni wahaya hawa watu wakiniona nimerudi wao ni kihaya tu...
High Court Judgement
"I hereby quash the entire proceedings and judgment of the lower tribunal for being nulity, Everything in ownership of the disuputed plot remains as if there was no case...
Good afternoon members (sijui kama nimepatia 😂 )
Kuna sehemu imeandikwa Received from / issued to. hapa unaweza kuandika bidhaa flani imeletwa kutoka stoo ama naandika majina ya wateja...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Naombeni tafsiri sahihi kwa kiswahili ya sentensi I saw him leaving the house
Aksanteni na karibuni
Mwathirika na Mhanga. Mwathirika ni ama mtu anayepatwa na jambo linalomsababishia madhara bila ya yeye kukusudia au mtu anayefuata tabia na mienendo ya mtu mwingine. Hivyo, dhana hii inaweza kuwa...
Baada ya kusikia kuna Watu wanataka kufunguliwa Mashtaka Mahakamani ya UHAINI nilitaka kujiridhisha ni Makosa gani yakifanywa ndio unaitwa UHAINI?
Jibu ni Kumuua Kiongozi wa Nchi AU kutaka...
Leo nimesikitika Sana watangazaji kutokuwa na weledi na kazi yao
Asubuhi ya leo nipo najiandaa kutoka radio ilikuwa inaongea (east Africa radio) kipindi wanakiita Mama Mia ,Rita chiwalo ndo...
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma ametoa wito kwa waswahili kukitazama Kiswahili kwa jicho la fursa na kuwa wepesi kung'amua kila upenyo kwa lugha hiyo na kuhakikisha...
Mizungu ni kauli zinazotumia lugha ya picha na mafumbo ili kuelezea vipengele mbalimbali vya mila na za jamii fulani. Mara nyingi mizungu hutumika kufunza miiko mbalimbali kwa watoto ambao...