Wale ambao mnatumia neno 'papatu papatu', lakini hamjui asili yake, piteni hapa

PakiJinja

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
7,654
15,776
Siku hizi kuna msemo maarufu sana wa 'pira papatu papatu', wengi hawaelewi asili ya msemo huu.
Msema huu asili yake mchanganyiko wa struggles za na sauti zitokanazo na samaki anapokua akirukaruka kwenye maji au matope, yaani kupaparika.

Nadhani tumeelewana.

Pateni video


MAana nyingine ya 'Papatu Papatu' ni hii hapa;
 
Baada ya hapo tupe na ufafanuzi wa neno "Yanga inaendeshwa kihuni"

Screenshot_20230831-141927.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom