Naomba kufahamu kama hili ni neno sahihi na sanifu lakiswahili ama ni tusi na lina athari gani kutamkwa?Watu wengi wamekuwa wakisema hili neno si zuri kulitamka mbele za watu.
Nawakilisha.
hi wanajamvi!
Ninalengo la kwenda kusoma nje masters degree. Nimekamilisha karibia kila kitu muhim but kunakitu manataka nimeshindwa elewa. Wanataka niattach certificate of language proficient...
Mimi ni mpiga picha ambaye nilipiga picha mpiga picha aliyekuwa akiwa piga picha wapiga picha waliokuwa wanapigana picha, Je mimi niliwapiga picha watu wangapi??.
Nimekuwa nikitafakari dhana ya wazazi wetu waliyotumia kutoa majina yafuatayo kwa watoto wao nimekosa majibu. Mwana JF ambaye una weza kuwa na Ufahamu huo , naomba msaada. Majina hayo waliyo pewa...
Kiukweli kabisa nimeamini kuwa kila mtu anaweza akawa mwalimu kwa mwenzake na mtu akawa mjinga wa jambo fulani lakini akasita kuuliza..
Kutokana na kwamba kuuliza si ujinga, ujinga ni kuto...
When I was learning English I used to write the new vocabularies I found from different books with their meaning on a piece of paper and start cramming them. This method was not effective since I...
Nipo maaeneo fulani hapa nimejipumzisha kama kawaida baada ya mishe mishe. Jirani yangu kuna kijana kakaa na mambo yake. Akatokea kijana mwingine ambaye anafahamiana na kijana ambaye yupo jirani...
ndugu wanajamvi kuna misemo ming nimekua nikiisikia mtaani toka utoto wangu mpaka utu uzima wangu lakini nilikua sijali kabisa sababu nimesoma nje ya nchi kwa kipind kirefu nili hic hayaniusu...
Habar wana JF. Ulishawahi kujiuliza sifa za lugha Yoyote Maarufu Duniani? Au Ili lugha iweze kuwa Maarufu, wajua moja ya sifa!? Ntazungumzia KipengEle kimoja tu cha Kujitosheleza Kimsamiati na...
wadau,kulingana na mambo ninayofanya,najikuta nadeal na hawa watu sana,nahitaji kweli na niko serious sana kujua kuongea na kusoma kichina na kikibosho,tafadhali sana niko tayari kulipa hata fees...
Habari wadau wa jukwaa hili!
Naomaba kupata mawazo yenu na tuwe honest. Hivi mnahisi lugha ya kufundishia ikiwa kiswahili kuanzia chekechea hadi chuo tutaweza kuhimili ushindani katika nyanja za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.