Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Habari wadau wa jukwaa hili! Naomaba kupata mawazo yenu na tuwe honest. Hivi mnahisi lugha ya kufundishia ikiwa kiswahili kuanzia chekechea hadi chuo tutaweza kuhimili ushindani katika nyanja za...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
naomba mwenye ujuzi wa hli neno anipe msaada, maana linanipa utata, nasikia wanawake wakiimba harusini, na wakati mwngne m2 akpendeza huambiwa ametoka kimasomaso. Mwngne akaniambia kimasomaso ni...
0 Reactions
8 Replies
17K Views
Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Kiswahili ya Chuo Kikuu cha Dar amesimamishwa uongozi wa ukurugenzi kwa tuhuma zenye harufu ya kifisadi na kutowajali waalimu wanaofundisha kiswahili katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni ipi maana ya msemo huu ktk lugha yrtu tukufu ya kiswahili |"""The old saying, "Cleanliness is next to godliness," suggests that if you maintain personal physical, moral and environmental...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Ndugu wana jamvi...nimekuwa nikijiuliza sana maana ya hili neno...lilitumia word formation process ipi na lilikusudia kubeba maana gani???? SECRET-siri ary-ni kiambishi cha nini??? je...
0 Reactions
7 Replies
11K Views
Sentensi ifuatayo ni ngumu kwangu kidogo kuilewa na kupata maana yake, nilikuwa naomba kama kuna mtu anayeweza kunitafsiria, Natanguliza shukrani zangu! "an indulgence is the full or partial...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mfano,.."I can't be totally Useless, but i can be used as a bad example", "Blessed are those pure in heart as they shall see God"."Blessed are Heart that bend, but shall never break".."Pesa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Some persons simply refuse to grow old. I like that eighty-year-old man who told me: What’s wrong with being eight years old? It is not how long you have been around; it is what you have done...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Be Precise To be precise means to be accurate and careful about what you do or say. Your written work can never be excellent if it is filled with inaccurate information or typos. These may seem...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Life is not always gentle-far from it. From time to time, it will handle you disappointment, grief, loss or formidable difficulty, often when least expected. But never forget you can surmount...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wadau,tujibrash kidogo mambo ya possessive case Possessive case A: The case endings for the possessive case. 1.’s is used when singular nouns and...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau nimekuwa nikifuatilia lugha ya kiswahili kwa watu wa songea wanapenda sana neno "bwana wewe".Linatumika kiufasaha?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samahanini nimekosa kamusi. NINI MAANA YA KU-flirt....?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
neno mapovu nimekuwa nikiilisoma mara kwa mara humu JF,hasa kwa wachangiaji wengi huwa wakilitumia. mfano usilete mapovu yako hapa!!!! toa mapovu yako hapa!!,n.k. je ,huwa linatumika kwa usahihi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Juzi katika bunge letu mheshimiwa Tundu lisu alitumia neno 'kutongoza wapiga kura', sasa baadhi ya wabunge wa CCM wakamshutumu kwa kutumia neno hilo. Nawaomba wajuzi wa kiswahili kuliweka neno...
2 Reactions
30 Replies
14K Views
Heshima kwenu wakuu.tumekua na mabishano na wenzangu hapa kazini kwa mda mrefu sasa kwani kila mtu amekua akitoa tafsiri yake katika hili. Issue ni hii. Neno mboga tafsiri yake ni ipi?maana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wana jf wataalamu wa lugha nisaidieni tofouti na maana ya maneno haya.. Tundu na tobo.kifungo na kishikizo.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Naombeni msaada kati ya hizi sentensi ipi ipo sahihi. 1. Tuipe mvuto sura. 2. Tuipe sura mvuto.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wana jamii forum naomba tafsiri ya kiswahili sanifu cha neno la kiingereza la pay row. Mn nimeulizwa na staff mate wangu (ni mwingereza tena wa rangi nyeupe) nikapata aibu kutofahamu neno mbadala...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Naomba maoni yenu wanajamvi. Hivi peni na penseli ni maneno fasaha ya (pen) na (pencil)? Kuna neno Kalamu hutumika kumaanisha hivyo vitu viwili. Peni huwa ni kalamu ya wino na penseli ni kalamu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom