'Penye miti hapana wajenzi' huu msemo wa mababu zetu ni valid wakati huu!? Naogopa mana naona unaukweli dhahiri kwenye taifa hili. Tuna kila kitu hapa nyumbani,ardhi,misitu,madini,maziwa na mito...
Mpoto alituma salamu, ukavunga ujazisikia
Roma akashika kalamu, nyimbo akakuandikia
We una akili timamu, sema tu hutaki zitumia
au mpaka imwagike damu, ndiyo utajua tunaumia?
Izzo-B akamtuma...
Kujua kingereza fasaha pasipo kujiuma ni muhimu katika interview yako ya kazi.usikae ukalalamika ni lugha ya kigen kila siku.wakat kuna njia lukuki za kukijua..tembelea websites.visit center...
Ndugu wanaJF,sote tunajua majina ya siku zote saba za week kuwa ni;
1.Mon-day
2.Tues-day
3.Wednes-day
4.Thurs-day
5.Fri-day
6.Satur-day
7.Sun-day.
Sasa najiuliza sana,maana ya...
Nikiwa sehemu fulani nikakutana na neno "GAY" likitumiwa na sentesi ilikuwa hivi "and we'll all feel gay"nikakunja ndita nikasema hivi huyu mzungumzaji amekosea nini au atanataka kutuletea habari...
Kwanza niwapongeze kwa ushirikiano wenu mnaouonesha katika kusaidiana kwa hilo nawapa kongole. Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa kitanzania na nina uwezo wa kuandika mashairi ya kuhusiana na...
nimekuwa na shangazwa na mfumo uliopo tized kwamba kila teknolojia inatungiwa kiswahili chake, tena ni bora kingefuatisha ile lugha ya kigeni la hasha bali kina wanatafuta neno sijui kutoka kabila...
Kama mfuatiliaji mzuri wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania utaungana nami kuwa baadhi ya wabunge wamesahau majukumu yao na kulifanya bunge kama kijiwe cha mabarobaro amboa kwao lugha za(...
NIPENDE HIVI NILIVYO
nipende hivi nilivyo sinambie nibadili
ili niwe utakavyo,nikuridhi yako hali
penda nywele nilonazo,kama nimefunga shungi
sinambie nende nazo,saluni kupaka rangi...
Nyerere aliwaita Kenya Manyang'au.Mpaka leo sijui kwa nini.
Lakini unaweza kuhisi maana yake ukiona current President wa Kenya(utajiri wa familly) yake.
Can you imagine baada ya uhuru,Nyerere...
{Mmoja wetu punguani, ana matobo kichwani
Alipofika duniani, mbingu purukushani
Tangu hapo tafrani, amani hapatikani,
Amani si amani, anadanganya punguani
Filosofa wa Kundavi, Dotto na wengine...
Binafsi nimechukizwa na tabia au mwenendo wa TATAKI na BAKITA kuwaaminisha wazungumzaji wa kiswahili hususani wa Tanzania kwamba kila neno la sayansi na tekinolojia lazima lipate kisawe chake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.