"uboho" si tusi,hili neno maana yake kwa kiingereza ni "bone marrow",zile chembe za damu zinazokaa ndani ya mfupa wa binadam au mnyama yeyote.
Tehe tehe ni kama ukoo mmoja kule Moshi eti unaitwa M.B.O.R.OMakabila yasiyotumia 'h' kwa hili neno mh, astaghafiru.
Tutafute maneno mengine tuyajadili hili limeeleweka
Tehe tehe ni kama ukoo mmoja kule Moshi eti unaitwa M.B.O.R.O
Mimi ndio kwanza nililisikia wakati wa sakata la Mwakyembe juzijuzi, sikulifahamu kabla!Sio tusi ila siku hizi hakuna anae litumia kwa maana la bone marrow.
yap, inanikumbusha kanga flani zilizotolewa mwanzoni wa miaka ya 70's na maneno yafuatayo "Hapa ndipo palipozaliwa TANU" pamoja na picha ya jengo ambapo TANU ilianzishwa. Sasa wakinamama wakivaa hiyo kanga maneno yalikuwa yanajizungusha kwenye kishtobe. Gumzo lililozagaa mjini lilifanya zile kanga kusitishwa manaake maneno yale yaligeuzwa kuwa ya kihuni ingawa hayakuwa na maana ile!neno lolote laweza kuwa tusi depend on how u say it.
maana yake nini?Uboho ni neno la Kiswahili na si tusi.
Hata nyoko ni neno la Kiswahili na si tusi.
Nadhani maana yake mamamaana yake nini?
maana yake nini?
Hahaha. Aisee. Nishawasikia haona wakina m.b.o.r.o. Dah!