Jukwaa la Lugha

Swahili, English languages special forum. Jifunze Kiswahili (Learn Swahili)
Hello, JF members. Sorry I am not good in English language,I want to know the difference and uses of these two words "WILL" and "SHALL"
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KUKU WA KIENYEJI NA KUKU WA KIZUNGU – INSHA Na. M. M. Mwanakijiji Kuna kuku wa kienyeji na kuku wa kizungu; na katika watu wanaopenda kula kuku basi wapo wanaopenda ladha ya kuku...
0 Reactions
8 Replies
11K Views
Kwa wale mlioangalia kipindi cha NIRVANA EATV, yaani huyu demu hata kama mawazo yake ni kuongea kiingereza ndo aonekane bab' kubwa, nadhani ingekua safi kama angepiga msasa kizungu chake kabla ya...
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Katika kusoma magazeti ya kiswahili nimeona waandishi wengi wanapozungumzia vita sentensi huwa mfano:"Vita ya pili ya dunia" badala ya "Vita vya pili vya dunia" sasa wanaForum hebu tufahamishane...
0 Reactions
4 Replies
9K Views
waungwana tafadhali naomba nijue majina ya vifaa hivi kwa kiswahili 1. projector 2. solar panel 3. TV tuner 4. Allen key 5. UPS 6.sound card
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Naomba tafsri maana hawa ndo watendaji wakuu wa serikali yaelekea wazungu walitoa macho kwakutojua wajibu nini!!:dizzy:
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila nikisikia hii habari huwa natafakari ni kwanini iliitwa hivo na sipati jibu. Sio uhusiano wowote na wala hata ukizingatia jina la kweli la mahala ambapo panafanyiwa uchafu huo haufananii na...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna misemo mingi ya kiswahili ambayo tumeipokea kutoka kwa mababu na viongozi wetu wa kitaifa. Misemo mingine imekuwa inatafsiriwa au imekuwa ikileta maana tata. Tujaribu kuitazama kiundani...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani wadau wa elimu, tunashangazwa na hawa jamaa wa TATAKI UDSM eti wanatunga vitabu vya sekondari kwa kiswahili kama njia ya kukuza kiswahili wakati mitaala ya kufundishia kwanza hakuna...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani, inasikitisha kuona kwamba bado tunaendelea kupotosha jina halisi na lugha fasaha ya kiswahil kwa hiki chombo kinachoitwa Decoder kwa kiingereza. Decoder kwa kiswahili fasaha ni KISIMBUZI...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Heshima kwenu wakuu! Nauliza, hivi kwanini raia wa nchi jirani ya Rwanda wanajulikana kama Wanyarwanda na si Warwanda? Ebu angalia majina ya raia wa nchi zifuatazo wanavyotambulika kutokana na...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Watu wengi hasa watangazaji wa redio na TV wamezoea kuitaja timu ya YANGA kama Young Africa badala ya Young Africans. Ijulikane kuwa Africa ni bara na Africans ni waafrika. Wanapoitaja timu ya...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
tofauti ya tundu.shimo na tobo
0 Reactions
2 Replies
3K Views
hivi TBC wakisema "habari mpasuko" huwa wana maanisha nini.
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Malonyalonya Nguo za mtumba ambazo huuzwa katika furushi la jumla na kwa bei moja bila kujali ukubwa au aina ya nguo. Nguo hizi mara nyingi huhitaji marekebisho ya vipimo ili yaendane n aumbo la...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Hola, tu hablas español??
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi maji yanatibiwa? Naomba wana-jamvi tuelimishane.
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu, kuna misa ya Mwaka Mpya inaendelea sasa hivi Rome na kuonyeshwa live na kituo kimoja cha televisheni kiitwacho EWTN. Misa inaendeshwa kwa lugha ya Kilatini lakini nimefurahi sana kumuona...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Akichangia hoja ya Waziri wa Elimu , hivi majuzi Mhe. Tundu Lissu, namnukuu ; "Huu muswaada aliouleta waziri hauna mantiki wala tija yeyote ktk Elimu ya Tanzania. Hii ni sawa serikali iliopo...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Jaman naomba msaada wa tofauti kati ya maonesho na maonyesho
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom